Kwanini kesi ya Mbowe imejikita kwenye ushahidi wa Mapolisi kukamata kuliko zana na mipango ya ugaidi?

Kwanini kesi ya Mbowe imejikita kwenye ushahidi wa Mapolisi kukamata kuliko zana na mipango ya ugaidi?

Freeman mbowe amekua inspiration kwa vijana wengi sana kushiriki siasa

Sihitaji kulielezea ilo kwa kirefu...kila kwenye akili timamu analijua.....

Wakati mwingine hayo ndiyo malipo ya UZALENDO.........

Kama ingetokea ukamuuliza mtu alie zaliwa kipindi Cha MATTERNICH & HIS SPY SYSTEMS
kama utawala huo ungefikia ukomo angekujib haiwezekani

Kuna haja ya KATIBA MPYA haiepukiki sisemi iliyopo ni mbaya hapana kuna Mambo yanatakiwa yawekwe sawa sawa

Mbowe sio Gaidi# Free Freeman#
 
Na bageni yeye alikuwa anafwata maamuzi ya mkubwa wake ambae n Zombie lkn cha ajbu Zombi aliachwa na Bageni kuhukumiwa kunyongwa hi ndo Tanzania bn

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Bageni alishikwa padogo tu yeye si alikuwa eneo la tukio basi angeweza kuzuia kuzuia watu wale wasiuawe cha ajabu hata walio ua wenyewe wapo nje
 
Ujue hawa watu watatu walikutwa na misokoto ya bangi na kwa hali halisi mtu akivuta bangi anaweza kufanya kazi pasipo kuchoka haraka, hivyo wangeweza kutekeleza azma yao ya kukata miti na kuitandaza barabarani toka Dar mpaka Iringa.
Hakuna cha bange wala mguu wa kuku, haiwezekani mashahidi wawe askari na watu wa karibu na 7ya!
 
Hakuna cha bange wala mguu wa kuku, haiwezekani mashahidi wawe askari na watu wa karibu na 7ya!
Ungekuwa unafuatilia kesi hii tangu mwanzo usingemkataa shahidi aliyekuwa mpambe wa Sabaya, shahidi huyu ambaye ameishi kwa Sabaya na alikutana na Mbowe mara kadhaa alitoa ushahidi wake binafsi si wakukaririshwa, alisema muda wote aliokutana na Mbowe hakuwahi kumsikia akipanga uhalifu wowote ule.
 
Hivi kweli rais wetu anajisikiaje kuhusu hii kesi?? Mimi kama namhurumia kwa aibu anayoibeba kwa yanayotendeka mahakamani! Afadhali ofisi yake angekiri Kuwa rais alidanganywa! Ni aibu kwetu kwa wanaotutazama kutoka nje!!
 
Back
Top Bottom