Kwanini kesi ya Mbowe imejikita kwenye ushahidi wa Mapolisi kukamata kuliko zana na mipango ya ugaidi?

Tabia ya polisi kubambikia kesi raia wema imejidhihirisha katika kesi ya Mbowe live kabisa
 
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]mission failed
Serikali huwa haishindwi, Jaji atatoa hukuma kwa maelekezo na asiyeridhika akate rufaa kwani iko wazi, huyooo anasepa anawaacheni mkiwa vikundivikundi kila mmoja na neno lake.
 
Bado ninajiuliza idadi kubwa ya mashahidi wa aina moja ni yanini? Unakuwa na mashahidi 20 wote ni wa aina moja, umedhamiria nini?
 
Labda wanaogopa wakiwaachia wanaccm wenye hasira kali watawadhuru.
 
Vitu vingine ukivifatilia inaumiza unaona kabisa hapa ndio uwezo wetu wa kufikiri ulipoishia ni mbaya sana kwa kweli..tena Jaji anakuja na vifungu kabisa kwa vitu vya hovyo hovyo watu wa mbege na magaidi wapi na wapi...anaetuhumu Polisi shahidi polisi anaehukumu Jaji hapo hapo kesi ya Nyani kuliwa na Fisi hakimu Fisi na shahidi Fisi...
 
Hii kesi inadhihirisha maneno ya Waziri wa mambo ya ndani kuwa huwa wanawachukua wasio na akili.
 
Mimi nasubiri tu siku ambayo Afande Zirro atapandishwa kizimbani na Kibatala kutoa ushahidi.
 
Labda mbele ya safari watajitokeza wajuzi zaidi ya hawa kamata na hoji.
 
Mhisiwa kulipia vituo vya mafuta kesi ina muda inaendelea. Mhusika na wizi wa mafuta ya mabilioni kigamboni alihukumiwa kifungo miaka 2 au faini sh 100,000,000 milioni mia moja. Alikupa akarudi kuendelea na biashara zake.
 
Yule mwehu mbambikaji kesi na mkuu wa watekaji Siro kazi imemshinda, alikula pesa za kununua mashahidi kaishia na wauza mbege na makarani wa tigo wasiojua majina yao, chifu Hangaya lazima amle kichwa yule katia aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…