Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Sawa ila hiyo miti ingekatwa je? Na hiyo basitola ya lisasi tano au?....... hapo bado ushahidi haupo.
Bageni alishikwa padogo tu yeye si alikuwa eneo la tukio basi angeweza kuzuia kuzuia watu wale wasiuawe cha ajabu hata walio ua wenyewe wapo njeNa bageni yeye alikuwa anafwata maamuzi ya mkubwa wake ambae n Zombie lkn cha ajbu Zombi aliachwa na Bageni kuhukumiwa kunyongwa hi ndo Tanzania bn
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Jambazi kafungwa inafuatiwa gaidi kufungwaJambazi amejifunga mwenyewe kwa matendo take ya uovu
Tanzania si lazima uwe na kosa ndiyo ufungwe, jaji akipenda upate haki ya kisheria kukata rufaa anakufunga.Jambazi kafungwa inafuatiwa gaidi kufungwa
Hakuna cha bange wala mguu wa kuku, haiwezekani mashahidi wawe askari na watu wa karibu na 7ya!Ujue hawa watu watatu walikutwa na misokoto ya bangi na kwa hali halisi mtu akivuta bangi anaweza kufanya kazi pasipo kuchoka haraka, hivyo wangeweza kutekeleza azma yao ya kukata miti na kuitandaza barabarani toka Dar mpaka Iringa.
Ungekuwa unafuatilia kesi hii tangu mwanzo usingemkataa shahidi aliyekuwa mpambe wa Sabaya, shahidi huyu ambaye ameishi kwa Sabaya na alikutana na Mbowe mara kadhaa alitoa ushahidi wake binafsi si wakukaririshwa, alisema muda wote aliokutana na Mbowe hakuwahi kumsikia akipanga uhalifu wowote ule.Hakuna cha bange wala mguu wa kuku, haiwezekani mashahidi wawe askari na watu wa karibu na 7ya!