Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Cc LIKUDKuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.
Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
NeverWengi hudhani hawajulikani kwa kuwa wanatumia id fake. Wengine tumejaaliwa ku sense aliyeandika ni nani katika nchi hii na anafanya kazi gani. Tunaweza kuwataja kwa majina yao halisi ila hairuhusiwi. Tuendelee tu kuona ushujaa wao humu
Wengi hudhani hawajulikani kwa kuwa wanatumia id fake. Wengine tumejaaliwa ku sense aliyeandika ni nani katika nchi hii na anafanya kazi gani. Tunaweza kuwataja kwa majina yao halisi ila hairuhusiwi. Tuendelee tu kuona ushujaa wao humu
Umelazimishwa na Mtu au Mleta Mada ( Uzi ) Kuufungua na Kuusoma? Halafu Wewe ni nani hadi upangie / utupangie Members hapa JamiiForums namna ya Kuandika na Kuwasilisha Mijadala Mitambuka?Mtakuja kuwaumiza watu bure kwa kujidai mnazifahamu IDs zao za humu Janvini!! kuna watu wenye visasi wanajadiliwa humu sasa nyie mkijidai mnafahamu ID za watu mnaweza kusababbisha watu waumie kumbe sio wahusika. Acheni mchezo menu wa kutaka kuja IDS za members; shuhurikeni na kujadili mada msijue nani anatra hoja gani kwani waswahili huangalia nani caserma na sio nini kimesemwa
Sawa Keyboard Warrior tukuka wa JamiiForums.Ngoja niongeze bando kwanza,
Nitarudi kuchangia.
ANGALIZOYaani unawafahamu na IDs zao unazifahamu lkn unasubiri utajiwe hizo IDs..
Kweli wewe POPOMA
TUKANA UONE
Siku zote binadamu ana sura tatu mkuu, ipo ile anaionyesha kwa jumuiya(keyboard worrier wanasimamia hapa), ipo ile wachache ndo wanaifahamu (familia yake), na ipo ile anaijua yeye mwenyewe.Kuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.
Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
Mkuu huwezi amini hawa Members Wawili na ID's zao ninazojijua ukikutana nao Live na Kukaa nao hata kwa dakika 30 unaweza kusema kuwa huenda kuna Watu huwa wanawaibia ID's zao na kuwa Watukutu na Wakorofi wakiwa nasi hapa JamiiForums.😅😅😅aiseee
Ukishaijua ndiyo ukubali 'Kunichanulia' au?GENTAMYCINE Una umri gani? Samahani lakini
Nawe nilikouna pale Kawe muraa!Kuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.
Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
Kwani Maua huwa 'hayachanui' Mkuu?Ungekua hutaki kujibu ungesema!!! Kuchanua imetoka wapi
Chanua maua yakoKwani Maua huwa 'hayachanui' Mkuu?
Ukimuona na Ukimjua GENTAMYCINE jua una Bahati Kubwa sana na unatakiwa Uringe na Ufurahi kweli kweli sawa Mkuu?Nawe nilikouna pale Kawe muraa!
Mkuu hutaki Kuchanua? Acha hizo Chanua tu ili Kitana kipite vizuri na uwe Nadhifu sawa?Chanua maua yako