Kwanini 'Keyboard Warriors' wengi hasa wa hapa JamiiForums ukikutana nao hutoamini kuwa ndiyo Wao kwa jinsi walivyo?

Kwanini 'Keyboard Warriors' wengi hasa wa hapa JamiiForums ukikutana nao hutoamini kuwa ndiyo Wao kwa jinsi walivyo?

Kuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.

Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
Cc LIKUD
 
Wengi hudhani hawajulikani kwa kuwa wanatumia id fake. Wengine tumejaaliwa ku sense aliyeandika ni nani katika nchi hii na anafanya kazi gani. Tunaweza kuwataja kwa majina yao halisi ila hairuhusiwi. Tuendelee tu kuona ushujaa wao humu
Never
 
Huyu kenge kwa maoni ya LIKUD anatumiaga nguvu sana kuaminisha wana humu anaishi Dar (urban dweller) kumbe ni Bush dweller wa ndani ndani huko.
Tumeanza lini tena kuitana Kenge Mkuu? Unanijua vyema au unanisikia tu katika Bomba?
 
Wengi hudhani hawajulikani kwa kuwa wanatumia id fake. Wengine tumejaaliwa ku sense aliyeandika ni nani katika nchi hii na anafanya kazi gani. Tunaweza kuwataja kwa majina yao halisi ila hairuhusiwi. Tuendelee tu kuona ushujaa wao humu

Mtakuja kuwaumiza watu bure kwa kujidai mnazifahamu IDs zao za humu Janvini!! kuna watu wenye visasi wanajadiliwa humu sasa nyie mkijidai mnafahamu ID za watu mnaweza kusababisha watu waumie kumbe sio wahusika. Acheni mchezo wenu wa kutaka kujua IDS za members; shuhurikeni na kujadili hoja msijue nani anatoa hoja gani kwani waswahili huangalia nani kasema na sio nini kimesemwa. Nina imani kabisa kuwa kutojulikana kwa members ni nguzo kubwa ya jamvi hili.
 
Mtakuja kuwaumiza watu bure kwa kujidai mnazifahamu IDs zao za humu Janvini!! kuna watu wenye visasi wanajadiliwa humu sasa nyie mkijidai mnafahamu ID za watu mnaweza kusababbisha watu waumie kumbe sio wahusika. Acheni mchezo menu wa kutaka kuja IDS za members; shuhurikeni na kujadili mada msijue nani anatra hoja gani kwani waswahili huangalia nani caserma na sio nini kimesemwa
Umelazimishwa na Mtu au Mleta Mada ( Uzi ) Kuufungua na Kuusoma? Halafu Wewe ni nani hadi upangie / utupangie Members hapa JamiiForums namna ya Kuandika na Kuwasilisha Mijadala Mitambuka?

Iwe mwanzo na mwisho sawa? Hopeless...!!
 
Yaani unawafahamu na IDs zao unazifahamu lkn unasubiri utajiwe hizo IDs..

Kweli wewe POPOMA
TUKANA UONE
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
Kuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.

Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
Siku zote binadamu ana sura tatu mkuu, ipo ile anaionyesha kwa jumuiya(keyboard worrier wanasimamia hapa), ipo ile wachache ndo wanaifahamu (familia yake), na ipo ile anaijua yeye mwenyewe.
Binadamu ni kiumbe tata sana muamini ila usiwe na imani nae.
 
😅😅😅aiseee
Mkuu huwezi amini hawa Members Wawili na ID's zao ninazojijua ukikutana nao Live na Kukaa nao hata kwa dakika 30 unaweza kusema kuwa huenda kuna Watu huwa wanawaibia ID's zao na kuwa Watukutu na Wakorofi wakiwa nasi hapa JamiiForums.

Hawa Jamaa ni Wastaarabu Wapole na wana Upendo wa Kutukuka halafu hawana Uchoyo, Chuki na Roho Mbaya kama ambavyo Wengi wetu tunawahisi au kuwaona hapa.

Kuanzia sasa nitawapenda na sitokuwa nawacharura tena ( japo Wao ) kwa bahati mbaya hawakujua kuwa waliyekuwa nae ndiyo Mimi GENTAMYCINE ambaye huwa sipitishi hata Siku lazima tu nitaingia nao katika Battle ya Israel na Palestine.

Je, na Wewe Keyboard Warrior wa hapa JamiiForums huu Uwasilishaji wako, Majibu yako na Nyodo zako ndiyo Uhalisia wako au huwa unaamua tu Kujizima Data ( Kujichetua ) uwapo hapa?
 
Kuna Wawili nimekutana nao ( ID's zao nazihifadhi ) hapa JamiiForums ni Machachari hakuna Mfano ila kumbe ni Watu Wapole, Wakarimu na Wastaarabu kiasi kwamba najua hata Siku mkitajiwa hizo ID's zao hapa Wote mtakataa na hamtoamini.

Kwahiyo usimchukulie kila 'Keyboard Warrior' hapa JamiiForums ndivyo alivyo Kiuhalisia wake kwani huenda ukija Kumjua Kiuhalisia hutoamini na utaishia Kucheka na hata Kustaajabu tu.
Nawe nilikouna pale Kawe muraa!
 
Back
Top Bottom