Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya.

Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi?

Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi?

Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida?

Huwa roho mtakatifu anamshukia ananena mambo ambayo linatakiwa jopo la kuyatafsiri kabla hayajafikia waumini na wafuasi wa ukatoliki Zaidi ya Bilioni ulimwenguni kote.

Ambao huwa mnaelewa mtusaidie sisi wakosefu.
 
Papa kasema very clearly; ushoga ni DHAMBI! Angesema vinginevyo ingekuwa ajabu! Wito #1 alioitiwa ni kuhubiri watu kuacha dhambi; na katekeleza kazi yake ya msingi, kuhubiri dhidi ya dhambi.
 
Sasa papa ana tofauti gani na yule kiongozi wa dini iliyoanzia arabuni kwenye moja ya aya na adithi zake anasifia kubusu midomo ya mwanaume mwenzie kaka!!!Au wewe umeona papa tu??????
 
Papa anaongea kitaliano, anakuja kanjanja kutoka buza anajifanya amemwelewa na kutafsiri kwa kiswahili huku hata kingereza hajui
 
Ushoga ni legal nadhani,hata Vatican,kwa sababu there is no Vatican,there is just Italy.
Kwa hiyo Papa Francis akisema it is legal but it is immoral,hakuna mtu amemnukuu vibaya.
 
Wewe hata aya za kitabu cha muhamadi huzijui!!!Kuna adithi anasifia na kuibusu midomo ya mwanaume mwenzie
Wewe ndio huzijui na umesikia na umeadithiwa . Ata Yesu pia alimpakata malaya na kufanyiwa masaji ya miguu namalaya so unaweza ukabisa na hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…