Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Nadhani hapo umekubali papa na mudí lao moja kaka!!Sasa why unaamini izo hadithi za awo wanazuoni angali ww ni mbantu ? Ishu ipo ivi mashoga wapo kila pande ya Dunia tatizo linakuja nani anapromote uwo uchafu ??? Hiyo ndio maana yangu yaani kuupigania ujulikane ni haki ya binadamu kufukunyuliwa