Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Anamaanisha Mudi alimla mate mwanaume mwenzie kwenye kadamnasi?
lete andiko acha bula bula za kutaka sote tuwe sawa tangu lini kafiri akawa sawa na muisilamu lete aya mshenzi we
 
lete andiko acha bula bula za kutaka sote tuwe sawa tangu lini kafiri akawa sawa na muisilamu lete aya mshenzi we
Kuna jamaa aliweka aya humu ngoja akipita akiona ataweka tena, km akisoma ataiweka tena Ila nakumbuka ipo na niliisoma humu humu
 
hukumu ya mfiraji na mfwirwaji kwenye quraan ni kuuwawa lete hiyo aya yako yakuchonga tuione kafiri kwa uzushi hamjambo
Kaka sasa unakataa muhamad alikua abusu midomo ya wanaume wenzie na kuisifia na maswahaba wake wakaiandika hiyo adithi???????Papa atakua ameiga kwa waliomtangulia akina muhamadi karne za nyuma!!!!Subiri wanazuoni waje watatuletea hiyo adithi!!!!!Usiwe na pupa
 
Mimi nawaambia wanabisha ila muhamad alikua anabusu midomo na ndimi za wanaume wenzie kuna aya na adithi zinasema hivyo!!!Kwahiyo ana tofauti na papa
Kuna jamaa aliweka aya humu ngoja akipita akiona ataweka tena, km akisoma ataiweka tena Ila nakumbuka ipo na niliisoma humu humu
 
Mimi nim
Unaambiwa Yule aliemuosha Yesu miguu wanazengo wanasema Yesu alikua anajipigia yaan anamla kisirisiri, hizo ni za ndani lakini
Mimi nimesoma kuna aya na adithi muhamad anabusu wanaume wenzie!!!Sasa hana tofauti na papa!!!Kuhusu yesu mungu wa wakrsto sijui!!!Lakini kwa muhamadi kuna aya kabisa na adithi!!!Wanazuoni wa kiislam wanajua nachomaanisha
 
Msimamo wa papa zaidi ya mara 3 ni kuunga mkono ushoga na huwa anasema wazi kabisa ushoga siyo uhalifu, sasa wewe ndo unajidai unataka kupindisha maneno yake
 
tuwekee hiyo aya tuione usipo iweke ujijua kuwa wewe ni kafiri na usichukie ukiitwa hivio
Kaka usipaniki kwa kua hujui adithi na aya za muhamad!!!!Ngoja wanazuoni waje watuwekee hiyo aya na adithi!!!!Kuhusu mimi kuniita kafir upo sawa ni mtazamo wako na sina shida na lugha ya kiarabu sababu hata sisi wabantu tunawaita nyie wafuasi wa muhamadi NYUGUMA!!!
 
Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya.

Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi?

Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi?

Ana mkakati wa kunifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida?

Huwa roho mtakatifu anamshukia ananena mambo ambayo linatakiwa jopo la kuyatafsiri kabla yajafikia waumini na wafuasi wa ukatoriki Zaidi ya Bilioni ulimwenguni kote.

Ambao huwa mnaelewa mtusaidie sisi wakosefu.
Shida sio kueleweka vibaya. Shida ni kulazimisha kumlisha maneno.
Amesema ushoga ni dhambi..kama hakusema hiyo kauli basi wanaokebehi watakuwa sawa. Tuwekane sawa hapa
Kula kitimoto,kunywa pombe sheria inaruhusu.Ila ukienda kwenye uslamu ni dhambi.
Leo hii kiongozi wa Kiislamu akisema kitimoto na pombe kwa sheria za Nchi sio makosa ila kwenye Uislamu ni dhambi(haramu) atakua amekosea ?
 
Vibaya vipi straight anasapoti ushoga.
Alisapoti utoaji mimba atashindwa ushoga
 
Sasa papa ana tofauti gani na yule kiongozi wa dini iliyoanzia arabuni kwenye moja ya aya na adithi zake anasifia kubusu midomo ya mwanaume mwenzie kaka!!!Au wewe umeona papa tu??????
Kubusu ni salamu za Jamii ya waarabu.ingekuwa kubusu speaker Ingekuwa ni hoja.
 
Huyu pope ni freemason degree 33 so hawezi kwenda kinyume na mabwana zake. Yule aliyekufa alikataa kuwa chini ya freemason akasingizia kujiuzulu kisa ugonjwa.
Alikataa kumkosea MUNGU wake, thus alikufa kifo chema, kifo chema ni kuonyeshwa unapoelekea pale roho inapoacha mwili. Wa aina hii ufa KWA tabasamu.
 
dhamba alionayo papa ni kubwa kuliko ya ushoga ndio maana anaona mapadiri wanao firia watoto nawao kuirwa ni jambo lakawaida

Dhambi aliokuwa nayo papa na wenzie wote ni kuamini kuwa yesu mwana wa mariyamu ni mungu na kuamini kuwa mariyamu ni mama wa mungu

na kuamini kuwa huyo mungu wenu yesu alizaliwa kisha akateshwa na kutundikwa msalabani kisha akafa na kuzikwa na kufufuka hii kuamini hivio ni dhambi kubwa sana kuliko ushoga
Hayo ni maoni yako.
 
Huo ni mtazamo wa pope na sio mtazamo wa wakatoliki. Ukatoliki sio ulaya pekee. Nchi za kiafrika, uarabuni, china kwenye ukatoliki kidini ni dhambi na kiserikali ni ushoga ni kosa na ni uhalifu pia.
 
dhamba alionayo papa ni kubwa kuliko ya ushoga ndio maana anaona mapadiri wanao firia watoto nawao kuirwa ni jambo lakawaida

Dhambi aliokuwa nayo papa na wenzie wote ni kuamini kuwa yesu mwana wa mariyamu ni mungu na kuamini kuwa mariyamu ni mama wa mungu

na kuamini kuwa huyo mungu wenu yesu alizaliwa kisha akateshwa na kutundikwa msalabani kisha akafa na kuzikwa na kufufuka hii kuamini hivio ni dhambi kubwa sana kuliko ushoga
Wee nimewahi kukuuliza humu hujawahi kunijibu kwamba hiyo dhambi wewe unawahesabia ukiwa kama nani?

Mtume,nabii au malaika?na imani yako una uhakika nayo kiasi gani hadi kufikia kuwakadiria watu dhambi,who are you by the way!!!
 
Msimamo wa papa zaidi ya mara 3 ni kuunga mkono ushoga na huwa anasema wazi kabisa ushoga siyo uhalifu, sasa wewe ndo unajidai unataka kupindisha maneno yake
Lucha naamini upo smart zaidi ya hapa je unaweza kunionyesha hapa wapi Papa alisema anaunga mkono ushoga?

Wengi msilolijua Pope na Kanisa kwa ujumla linatambua uwepo wa watenda dhambi wazinzi,watenda dhambi majambazi,watenda dhambi wafitini also watenda dhambi wafiraji na wafirwaji hao wote tunajumuika nao kwenye nyumba zetu za ibada kama wewe Muislam jua unapoingia msikitini humo humo unaingia na mwizi,mzinzi,mfiraji na mfirwaji tatizo ni namna gani hawa watu wanavyochukuliwa?sometimes yupo shoga Muislam anaogopa kuingia msikitini kuswali kwa sababu hajui yeye kwa udhaifu wake kama walivyo wezi wazinzi na wauwaji wanaoingia humo anachukuliwaje but kama viongozi wa dini husika wangetoa kauli angeokoa nafsi yake.

Mimi leo nikionekana namkaba mtu usiku asubuhi nikaonekana naingia Kanisani au msikitini nitaonekana naenda kutubu watu wataniona ipo siku nitabadilika ila mimi huyo huyo nikiwa shoga nikaingia humo japokuwa naweza nisizuiwe ila hata nitakapoenda kusimama karibu na mtu atanikimbia nisimguse but lengo letu wote ni kutubia dhambi zetu
 
Back
Top Bottom