Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Inaonekana wewe ni muumini wa ushoga unatamani iwe halali ila ndo vile aiwezekani.
Muumini wa ushoga ni aliesema ushoga siyo uhalifu kama wewe unavyo amini ndo maana umeniuliza swali kuwa kwa akili yangu ushoga ni uhalifu? Hilo swali maana yake wewe kwa akili yako ushoga siyo uhalifu sasa mimi na nyie Nani anae halalisha ushoga?
 
Kuna kitu yanataka kusema
ila yanakwama! Sometimes ni kuyapotezea. Wenye akili Baba Mtakatifu ameeleweka vizuri sana! Ushoga ni dhambi; jitu linapinga sijui tuliweke kundi gani.
Mashoga haya! Yanatamani kusikia ukihalalishwa ila ndo vile aiwezekani
 
Ni haram na ni uhalifu mbele ya Mwenyezi Mungu ila kwako wewe na papa siyo uhalifu na ninaheshimu hilo sikulaumu wewe wala papa hata kidogo.
Tuishie hapa.

Wew unazungumzia kwasababu watu wamesema hivyo lakini wewe ujazaliwa watu wanacheza uho mchezo na mbaya zaidi hakuna hajuae asili ya ushoga, watu tunazidi kuja na sababu ambazo wengine hawazikubali na wengi mnaongelea kwa upande wa dini , mimi niambie asili ya ushoga ni nin?
 
Ngoja waje wanazuoni watatuwekea kaka!!!Mambo ya mwanaume kúbusu ndimi na midomó ya mwanaume mwenzie!!!!Papa hana jipya ameiga tu kwa waliomtangulia
Basi kama umeshindwa kutoa ushahidi kauli zako na kubwabwaja kwa chuki tu basi kwa ujinga uliofikia haipaswi mtu mwerevu na mwenye akili timamu kuendelea na mijadala na wewe ..

Hizo tabia za wambea vijiweni na wajinga kuropoka hovyo bila kuchunguza na pasi na ushahidi kamili..
IMG_20220919_065830.jpg
 
Muumini wa ushoga ni aliesema ushoga siyo uhalifu kama wewe unavyo amini ndo maana umeniuliza swali kuwa kwa akili yangu ushoga ni uhalifu? Hilo swali maana yake wewe kwa akili yako ushoga siyo uhalifu sasa mimi na nyie Nani anae halalisha ushoga?
Katubu achana na ufirauni Yesu anawapokea wazambi kama wewe wala habagui kama mudy.
 
Wew unazungumzia kwasababu watu wamesema hivyo lakini wewe ujazaliwa watu wanacheza uho mchezo na mbaya zaidi hakuna hajuae asili ya ushoga, watu tunazidi kuja na sababu ambazo wengine hawazikubali na wengi mnaongelea kwa upande wa dini , mimi niambie asili ya ushoga ni nin?
Siyo muhimu kwangu kujua asili ya ushoga, kilicho muhimu kwangu ni kutambua ushoga ni dhambi kubwa na ni uhalifu mbele ya Mungu Basi.
 
Siyo muhimu kwangu kujua asili ya ushoga, kilicho muhimu kwangu ni kutambua ushoga ni dhambi kubwa na ni uhalifu mbele ya Mungu Basi.

Sijakataa hila hili tatizo limejificha sana
 
Huheshimiki kwa sababu wewe binafsi unashindwa kuwaheshimu wenzako hapo juu nimekuuliza wapi Pope alisema anaunga mkono ushoga hujanijibu.

Ndani ya Kanisa Catholic ipo wazi linajua waumini wake ni watenda dhambi za aina mbali mbali so halioni haja ya kukemea dhambi fulani na kuacha dhambi fulani sababu zote ni dhambi na zinachukuliwa kwa uzito ule ule wewe unadhani unapoingia msikitini huingii na mashoga?huingii na wafiraji?huingii na wezi sasa kwanini kutolewa tahadhari tu kwa wezi na wazinzi wafiraji na wafirwaji wanaachwa it means wanayoyafanya ni mazuri kwa mujibu wa imani yako?

Papa kama kiongozi aliapa kuwa mjumbe wa Mungu so anao wajibu wa kusema yaliyo mema na yaliyo mazuri alimradi watu wote wavuke salama,America kama taifa inatambua ushoga ndani ya katiba yao na ndani ya Marekan kuna waumini wakatoliki ndani ya hao kuna wafiraji na wafirwaji wapo pia wasiokuwa waumini wana tabia hiyo hao nao wanapaswa kuambiwa kwa unyenyekevu kwamba japokuwa sheria za nchi zao wanazoona zinawalinda na kuwafariji wajue ipo dhambi kubwa wanayoitenda na wa kusema hayo siyo mwengine ni papa,sheikh au mchungaji kama hawajasema hayo hao nao hawafai kuwa wajumbe wa Mungu kwa sababu yale yaliyo maovu hawayakemei na huo ni unafiki.
Ukisema wizi siyo uhalifu hiyo maana yake unaunga mkono wizi, hivyo hivyo ukisema ushoga siyo uhalifu maana yake umeunga mkono ushoga, nlitegemea papa akemee ushoga kwa nguvu zote na siyo kusema kuwa siyo uhalifu
 
Kwani yeye papa ndio aliazisha af hata hivyo hiyo ni tabia ya mtu mbona kama hilo tatizo kingekuwa linatibika mbona baada ya sodoma na gomora kuhalibiwa lakini bado watu wailiendelea walipo ishia?

Ifikilishe bas akili yako
 
Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya.

Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi?

Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi?

Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida?

Huwa roho mtakatifu anamshukia ananena mambo ambayo linatakiwa jopo la kuyatafsiri kabla hayajafikia waumini na wafuasi wa ukatoriki Zaidi ya Bilioni ulimwenguni kote.

Ambao huwa mnaelewa mtusaidie sisi wakosefu.
Siku zote ukiongea juu ya mada mtambuko watu wa kawaida watachanganyikiwa. Ukiongea juu ya uumbaji wa dunia ukasema uumbaji actually haukutokea ndani ya siku 6 pekee na kwamba “hadithi “ ya uumbaji kwenye Biblia ni kielelezo tu utawachanganya watu wa kawaida na utaitwa mzushi na mkufuru. Papa kusema homesexuals ni watoto wa Mungu na tusiwatenge kimsingi hakuna cha ajabu, lakini kwa watu wa kawaida, papa lazima aingie matatizoni.
 
Kwani yeye papa ndio aliazisha af hata hivyo hiyo ni tabia ya mtu mbona kama hilo tatizo kingekuwa linatibika mbona baada ya sodoma na gomora kuhalibiwa lakini bado watu wailiendelea walipo ishia?

Ifikilishe bas akili yako
Wewe ndo unatakiwa ufikirie kwahiyo unatetea ushoga? Kisa papa kasema
“Being homosexual isn’t a crime,” ?
 
Wewe ndo unatakiwa ufikirie kwahiyo unatetea ushoga? Kisa papa kasema
“Being homosexual isn’t a crime,” ?

Sio kuwa natetea hila najaribu kukuelewesha ukisema kukemea inabidi tukemee mambo yote ambayo ni crime lakini tumeyahalisha kuwa sio crime mtu alie zini na alie practice ushoga wana tofauti gani?
 
Ukisema wizi siyo uhalifu hiyo maana yake unaunga mkono wizi, hivyo hivyo ukisema ushoga siyo uhalifu maana yake umeunga mkono ushoga, nlitegemea papa akemee ushoga kwa nguvu zote na siyo kusema kuwa siyo uhalifu
Wewe ni miongoni mwa mabilioni wasiomwelewa papa. Papa alisema ushoga sio uhalifu akimaanisha ushoga kama predisposition ya mtu sio uhalifu. Unajua ushoga ni hali ya mtu kiasili kuvutiwa kufanya mapenzi na mtu wa jinsia yake. Ukimhukumu mtu kwa kuzaliwa na hali au hisia hizo na kumwita mhalifu unamwonea. Ni sawa na kumhukumu kipofu kwa kushindwa kuona. Kwa hiyo papa alimaanisha kuwa na hali ushoga jambo hilo sio uhalifu ni hali ya kimaumbile ya mtu hivyo mtu ashukumiwe kwa kuzaliwa hivyo.
 
Muumini wa ushoga ni aliesema ushoga siyo uhalifu kama wewe unavyo amini ndo maana umeniuliza swali kuwa kwa akili yangu ushoga ni uhalifu? Hilo swali maana yake wewe kwa akili yako ushoga siyo uhalifu sasa mimi na nyie Nani anae halalisha ushoga?
Siku utakapoacha chuki juu ya Papa na Kanisa Catholic utakuwa umefika kiasi fulani cha uelewa wa mafundisho ya Kikristo hasa ndani ya Kanisa Catholic.

Hizo imani zenu mnazifata kinafiki huku mkiwa hamuwaambii watu ukweli ndani ya ibada huku nje ya nyumba zenu za ibada mnawasengenya hiyo haina tofauti na wao tofauti mmoja ametenda dhambi hii mwingine akatenda dhambi hii
 
Papa kasema “Being homosexual isn’t a crime,”

Mbona inaeleweka kwanini tuvutane sana ? Mimi sina chuki na papa
 
Back
Top Bottom