matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #81
Sheria z wapiza Mungu, za katoriki, za Vatican, US, EU au Dunia nzimaUshoga ni dhambi ila siyo kosa kisheria.
Papa alikuwa sahihi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria z wapiza Mungu, za katoriki, za Vatican, US, EU au Dunia nzimaUshoga ni dhambi ila siyo kosa kisheria.
Papa alikuwa sahihi.
Kuna dhambi nyingi Sana ambazo ni legal. Mfano Biblia inasema ni laana kuzini na mama yako au dada yako, wahindi huo ni utamaduni mwema kabisa . Kwa sababu anasimamia kanisa Duniani ambapo Kuna diversity kubwa ya kisheria. Kwa Nini asisimamie tu kwenye morals na standard za Mwenyezi Mungu ili wanasheria wao wabaki na Sheria zaoUshoga ni legal nadhani,hata Vatican,kwa sababu there is no Vatican,there is just Italy.
Kwa hiyo Papa Francis akisema it is legal but it is immoral,hakuna mtu amemnukuu vibaya.
... ulitamani aseme sio dhambi? Kama ndivyo, imekula kwako. Acha dhambi mwanadamu!
Watu hawajamwelewa Baba Mtakatifu. Amekemea dhambi ya ushoga openly! And that's what we want! Wasiopenda dhambi ya ushoga ikemewe ni wa kuwaangalia kwa macho mawili.Lucha naamini upo smart zaidi ya hapa je unaweza kunionyesha hapa wapi Papa alisema anaunga mkono ushoga?
Wengi msilolijua Pope na Kanisa kwa ujumla linatambua uwepo wa watenda dhambi wazinzi,watenda dhambi majambazi,watenda dhambi wafitini also watenda dhambi wafiraji na wafirwaji hao wote tunajumuika nao kwenye nyumba zetu za ibada kama wewe Muislam jua unapoingia msikitini humo humo unaingia na mwizi,mzinzi,mfiraji na mfirwaji tatizo ni namna gani hawa watu wanavyochukuliwa?sometimes yupo shoga Muislam anaogopa kuingia msikitini kuswali kwa sababu hajui yeye kwa udhaifu wake kama walivyo wezi wazinzi na wauwaji wanaoingia humo anachukuliwaje but kama viongozi wa dini husika wangetoa kauli angeokoa nafsi yake.
Mimi leo nikionekana namkaba mtu usiku asubuhi nikaonekana naingia Kanisani au msikitini nitaonekana naenda kutubu watu wataniona ipo siku nitabadilika ila mimi huyo huyo nikiwa shoga nikaingia humo japokuwa naweza nisizuiwe ila hata nitakapoenda kusimama karibu na mtu atanikimbia nisimguse but lengo letu wote ni kutubia dhambi zetu
Haya beba dume mwenzako mkaandikishe ndoa parokiani ni mnaungwa mkono!.Msimamo wa papa zaidi ya mara 3 ni kuunga mkono ushoga na huwa anasema wazi kabisa ushoga siyo uhalifu, sasa wewe ndo unajidai unataka kupindisha maneno yake
Kabisa na wanapiga kelele utadhani kukemea ushoga ni dhambiWatu hawajamwelewa Baba Mtakatifu. Amekemea dhambi ya ushoga openly! And that's what we want! Wasiopenda dhambi ya ushoga ikemewe ni wa kuwaangalia kwa macho mawili.
... haha ha! Wanamkebehi aliyesema ushoga ni dhambi; nahisi walitamani aseme vinginevyo! Katu haitatokea unless Bwana na Mwokozi hakufufuka maana imani yetu ingalikuwa bure!Kabisa na wanapiga kelele utadhani kukemea ushoga ni dhambi
Hata kama ingekuwa kweli...Sure
Mimi siyo muumini wa kikristo kwa mujibu wa dini yangu ni haram mwanaume kujifananisha na mwanamke na mwanamke kujifananisha na mwanamke achilia mbali huo ushoga wenyewe kwahiyo jiheshimHaya beba dume mwenzako mkaandikishe ndoa parokiani ni mnaungwa mkono!.
Anza kujiheshimu wewe unayemshutumu PapaMimi siyo muumini wa kikristo kwa mujibu wa dini yangu ni haram mwanaume kujifananisha na mwanamke na mwanamke kujifananisha na mwanamke achilia mbali huo ushoga wenyewe kwahiyo jiheshim
Namshutumu au yeye mwenyewe zaidi ya mara tatu kashaeleza kwa upande wake ushoga siyo uhalifu? Kwanini hampendi kumpa mtu Uhuru wake wa kujieleza? Hebu heshimuni mawazo ya mtuAnza kujiheshimu wewe unayemshutumu Papa
Kwahiyo kwa akili zako ushoga ni uharifu?Namshutumu au yeye mwenyewe zaidi ya mara tatu kashaeleza kwa upande wake ushoga siyo uhalifu? Kwanini hampendi kumpa mtu Uhuru wake wa kujieleza? Hebu heshimuni mawazo ya mtu
Ni haram na ni uhalifu mbele ya Mwenyezi Mungu ila kwako wewe na papa siyo uhalifu na ninaheshimu hilo sikulaumu wewe wala papa hata kidogo.Kwahiyo kwa akili zako ushoga ni uharifu?
Kuna kitu yanataka kusemaKwahiyo kwa akili zako ushoga ni uharifu?
Usisahau waislamu kuna aya zinaruhusu hayo mambo!!!!!Hata kiongozi wao kuna aya anasema alikua na furaha alipobusu midomo ya mwanaume mwenzie
Inaonekana wewe ni muumini wa ushoga unatamani iwe halali ila ndo vile aiwezekani.Ni haram na ni uhalifu mbele ya Mwenyezi Mungu ila kwako wewe na papa siyo uhalifu na ninaheshimu hilo sikulaumu wewe wala papa hata kidogo.
Tuishie hapa.
kanisa liko chini ya nani?Francis ndio Katoa maoni yake, sio Kanisa Katoliki.
Huheshimiki kwa sababu wewe binafsi unashindwa kuwaheshimu wenzako hapo juu nimekuuliza wapi Pope alisema anaunga mkono ushoga hujanijibu.Mimi siyo muumini wa kikristo kwa mujibu wa dini yangu ni haram mwanaume kujifananisha na mwanamke na mwanamke kujifananisha na mwanamke achilia mbali huo ushoga wenyewe kwahiyo jiheshim