Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Na tukishusha nondo za uhakika hapa hawachelewi kututangazia Fatwa!
 
Viongozi karibu ya wote wa hizi dini za kuletewa ni watu wa kuwatilia mashaka sana, mapadri karibu ya wengi wanakulana wenyewe kwa wenyewe na masheikh pamoja na walimu wa madrasat karibu ya wote wanafila waumini wao.
 


Papa anaposema, Ushoga ni dhambi ila sio kosa kisheria. Kwa ufupi anamaanisha anatii sheria za nchi ya Italy na EU kwa ujumla ila ana kana dhambi ya kibinadamu.

Kama raia — ana support
Ila kama kiongozi wa Katoliki — Ha support

Ila itoshe kusema ha support kwa maana hakuna dini inayoruhusu hilo.

Wenzetu wanaheshimu sana miongozo ya nchi kw imani.
Hawalazimishi mpaka kujilipua au kufanya mauaji ili waeleweke
 
Unatamani kweli kusikia yanayokidhi matamanio yako badala ya UKWELI. Dhambi ndio kiini cha matatizo yote duniani. Acha dhambi and automatically ushoga utapotea! Got it?
Boraa umuambiee ukweli na aelewee.
 
We ni mkatoliki zaidi ya papa?

Sawa sawa useme unaijua smartphone yako zaidi ya mzungu [emoji1787][emoji1787] kweli?
Watu wanachekesha humu wee acha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wewe mwangalie babu yako au bibi yako akizeeka akili zake zinakuaje???? QUR'RAN tukufu yenyewe inasema"na baadhi yenu mtaonja mauti mapema,na wengine watapewa umri mkubwa mpaka watapungukiwa ufahamu....."papa ana miaka 83 kama sikosei"
 
They normally misquote him and take things out of their context
 
Mara nyingi kanisa hushambuliwa sana. But i like jt anyway
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…