Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Mimi nawaambia kuna aya na adithi za mtume Muhammad anasifia kubusu nakunyonya ndimi na midomo ya mwanaume mwenzie wanakataa ila kumsema papa mtakatifu wanaona uroooda🤣🤣🤣🤣!!!!Wakiwa wanaleta uzi wawe makini wasiwe maamuma al takafur
Na tukishusha nondo za uhakika hapa hawachelewi kututangazia Fatwa!
 
Viongozi karibu ya wote wa hizi dini za kuletewa ni watu wa kuwatilia mashaka sana, mapadri karibu ya wengi wanakulana wenyewe kwa wenyewe na masheikh pamoja na walimu wa madrasat karibu ya wote wanafila waumini wao.
 
Lucha naamini upo smart zaidi ya hapa je unaweza kunionyesha hapa wapi Papa alisema anaunga mkono ushoga?

Wengi msilolijua Pope na Kanisa kwa ujumla linatambua uwepo wa watenda dhambi wazinzi,watenda dhambi majambazi,watenda dhambi wafitini also watenda dhambi wafiraji na wafirwaji hao wote tunajumuika nao kwenye nyumba zetu za ibada kama wewe Muislam jua unapoingia msikitini humo humo unaingia na mwizi,mzinzi,mfiraji na mfirwaji tatizo ni namna gani hawa watu wanavyochukuliwa?sometimes yupo shoga Muislam anaogopa kuingia msikitini kuswali kwa sababu hajui yeye kwa udhaifu wake kama walivyo wezi wazinzi na wauwaji wanaoingia humo anachukuliwaje but kama viongozi wa dini husika wangetoa kauli angeokoa nafsi yake.

Mimi leo nikionekana namkaba mtu usiku asubuhi nikaonekana naingia Kanisani au msikitini nitaonekana naenda kutubu watu wataniona ipo siku nitabadilika ila mimi huyo huyo nikiwa shoga nikaingia humo japokuwa naweza nisizuiwe ila hata nitakapoenda kusimama karibu na mtu atanikimbia nisimguse but lengo letu wote ni kutubia dhambi zetu


Papa anaposema, Ushoga ni dhambi ila sio kosa kisheria. Kwa ufupi anamaanisha anatii sheria za nchi ya Italy na EU kwa ujumla ila ana kana dhambi ya kibinadamu.

Kama raia — ana support
Ila kama kiongozi wa Katoliki — Ha support

Ila itoshe kusema ha support kwa maana hakuna dini inayoruhusu hilo.

Wenzetu wanaheshimu sana miongozo ya nchi kw imani.
Hawalazimishi mpaka kujilipua au kufanya mauaji ili waeleweke
 
Unatamani kweli kusikia yanayokidhi matamanio yako badala ya UKWELI. Dhambi ndio kiini cha matatizo yote duniani. Acha dhambi and automatically ushoga utapotea! Got it?
Boraa umuambiee ukweli na aelewee.
 
We ni mkatoliki zaidi ya papa?

Sawa sawa useme unaijua smartphone yako zaidi ya mzungu [emoji1787][emoji1787] kweli?
Watu wanachekesha humu wee acha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya.

Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi?

Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi?

Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida?

Huwa roho mtakatifu anamshukia ananena mambo ambayo linatakiwa jopo la kuyatafsiri kabla hayajafikia waumini na wafuasi wa ukatoliki Zaidi ya Bilioni ulimwenguni kote.

Ambao huwa mnaelewa mtusaidie sisi wakosefu.
wewe mwangalie babu yako au bibi yako akizeeka akili zake zinakuaje???? QUR'RAN tukufu yenyewe inasema"na baadhi yenu mtaonja mauti mapema,na wengine watapewa umri mkubwa mpaka watapungukiwa ufahamu....."papa ana miaka 83 kama sikosei"
 
They normally misquote him and take things out of their context
 
Mara nyingi kanisa hushambuliwa sana. But i like jt anyway
 
Back
Top Bottom