Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Hapo chacha!Facts sasa papa kawafundisha hawa wote ushoga???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo chacha!Facts sasa papa kawafundisha hawa wote ushoga???
Mimi nawaambia kuna aya na adithi za mtume Muhammad anasifia kubusu nakunyonya ndimi na midomo ya mwanaume mwenzie wanakataa ila kumsema papa mtakatifu wanaona uroooda🤣🤣🤣🤣!!!!Wakiwa wanaleta uzi wawe makini wasiwe maamuma al takafurHapo chacha!
Na tukishusha nondo za uhakika hapa hawachelewi kututangazia Fatwa!Mimi nawaambia kuna aya na adithi za mtume Muhammad anasifia kubusu nakunyonya ndimi na midomo ya mwanaume mwenzie wanakataa ila kumsema papa mtakatifu wanaona uroooda🤣🤣🤣🤣!!!!Wakiwa wanaleta uzi wawe makini wasiwe maamuma al takafur
Papa kilatini hicho kaka kwa kiswahili cha gigy money tunapata ......!!!!HIVI NENO PAPA LIKITAFSIRIWQ KWA KISWAHILI TUNAPATA NENO GANI VILE
Ndio maana nikaambia umma al muslim JF mkiwa mnaleta uzi wowote wa kukandia na kuudharirisha ukrsto au papa msiwe deep maamuma al takfur!!!!Na tukishusha nondo za uhakika hapa hawachelewi kututangazia Fatwa!
Lucha naamini upo smart zaidi ya hapa je unaweza kunionyesha hapa wapi Papa alisema anaunga mkono ushoga?
Wengi msilolijua Pope na Kanisa kwa ujumla linatambua uwepo wa watenda dhambi wazinzi,watenda dhambi majambazi,watenda dhambi wafitini also watenda dhambi wafiraji na wafirwaji hao wote tunajumuika nao kwenye nyumba zetu za ibada kama wewe Muislam jua unapoingia msikitini humo humo unaingia na mwizi,mzinzi,mfiraji na mfirwaji tatizo ni namna gani hawa watu wanavyochukuliwa?sometimes yupo shoga Muislam anaogopa kuingia msikitini kuswali kwa sababu hajui yeye kwa udhaifu wake kama walivyo wezi wazinzi na wauwaji wanaoingia humo anachukuliwaje but kama viongozi wa dini husika wangetoa kauli angeokoa nafsi yake.
Mimi leo nikionekana namkaba mtu usiku asubuhi nikaonekana naingia Kanisani au msikitini nitaonekana naenda kutubu watu wataniona ipo siku nitabadilika ila mimi huyo huyo nikiwa shoga nikaingia humo japokuwa naweza nisizuiwe ila hata nitakapoenda kusimama karibu na mtu atanikimbia nisimguse but lengo letu wote ni kutubia dhambi zetu
Boraa umuambiee ukweli na aelewee.Unatamani kweli kusikia yanayokidhi matamanio yako badala ya UKWELI. Dhambi ndio kiini cha matatizo yote duniani. Acha dhambi and automatically ushoga utapotea! Got it?
Alphabetic. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cacastic we si ni upinde?
Watu wanachekesha humu wee acha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We ni mkatoliki zaidi ya papa?
Sawa sawa useme unaijua smartphone yako zaidi ya mzungu [emoji1787][emoji1787] kweli?
Wameshikiwa akili hawaWatu wanachekesha humu wee acha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wewe mwangalie babu yako au bibi yako akizeeka akili zake zinakuaje???? QUR'RAN tukufu yenyewe inasema"na baadhi yenu mtaonja mauti mapema,na wengine watapewa umri mkubwa mpaka watapungukiwa ufahamu....."papa ana miaka 83 kama sikosei"Watetezi wake Huwa wanakuja na ushahidi kuonyesha amenukuliwa vibaya.
Hii SI mara ya kwanza. Najiuliza. Anafanya kusudi?
Ana akili kubwa kiasi kwamba sisi walala hoi na waandishi makanjanja huwa hawamuelewi?
Ana mkakati wa kuifanya Dunia kuwa conscious na ushoga ili waone ni kitu Cha kawaida?
Huwa roho mtakatifu anamshukia ananena mambo ambayo linatakiwa jopo la kuyatafsiri kabla hayajafikia waumini na wafuasi wa ukatoliki Zaidi ya Bilioni ulimwenguni kote.
Ambao huwa mnaelewa mtusaidie sisi wakosefu.
Na ni ukweli sasa,. Km hamtakiii mjitundikeee.
[emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380][emoji2380] weraaaaaah
Ushoga ni dhambi ila siyo kosa kisheria.
Papa alikuwa sahihi.
Ushoga ni dhambi ila siyo kosa kisheria.
Papa alikuwa sahihi.
Usisahau waislamu kuna aya zinaruhusu hayo mambo!!!!!Hata kiongozi wao kuna aya anasema alikua na furaha alipobusu midomo ya mwanaume mwenzie
Yaan acha tyuuhWameshikiwa akili hawa
Leta kifungu cha sheria za Tanzania, tena hiko kirefuu tukijadili.Ushoga ni dhambi na nu kosa kisheria za Tanzania, tena kifungo chake ni kirefu.
Huyo Papa anazungumzia sheria za nchi gani?
PoleeeeehDaah!Aiseee.