Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Sasa hawa wanamuona papa tu peke yake na ukiwaambia kuhusu muhamadi wanakasirika wakati aya na adithi zipo wazi kabisa
Kuna mtu wao maarafu sana hana kazi ya kuchimba mitaro ya kike na kiume hila akiwa kwenye mafundisho ushoga haramu hamtamuona mtume oh lele lele binadamu wengi wetu wanafiki sana mpaka shetani anajifunza kitu husu sisi