Kwanini kila sehemu ruto anaambatana na Naibu Rais na Waziri Kiongozi?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Kila sehemu kila ziara hawaachi lazima awe nao ni kwanini?
Je, wanapata saa ngapi muda wa kufanya majukumu yao?
 
Kila sehemu kila ziara hawaachi lazima awe nao ni kwanini?
Je wanapata saa ngapi muda wa kufanya majukumu yao?
Wale nao ni wasanii tu!!muda mwingi ni kukaa na kujibu hoja za odinga tu?!
Halafu jamaa ni MZEE WA KUKULUPUKA!!baada ya ile kauli yake kuwa serikali yao ni kama kampuni,wenye share kubwa ndio wanakula zaidi,kumletea shida,sasa ameanza kuwa makini kwenye hotuba zake,japo si muda atalizua jingine tu!!SERIKALI YA MIPASHO.wao wafanye kazi tu wananchi ndio watawasemea!!ila siasa za KENYA ni pasua kichwa.
 
Imabia sana wanaongozana kama kumbikumbi
 
Kenya kuna serikali kuu Nairobi na serikali za 47 za majimbo (kaunti) siyo kama Tanzania ambapo masuala ya ujenzi wa choo Sumbawanga mpaka Mwigulu Nchemba waziri wa fedha aidhinishe bajeti Dodoma baada ya rais kuidhinisha fedha.

Ndiyo manufaa ya ugatuzi wa serikali serikali za majimbo, rais wa Jamhuri ya Kenya ana fanya shughuli kubwa kubwa zenye mguso kwa nchi nzima kama mradi huu wa gesi itayotumika nchi nzima na kuzuia kufyeka miti kwa ajili ya mkaa utumike kupikia.

Serikali za kauti zinaongozwa na gavana pia zina bunge na mabaraza ya madiwani MCA ambao hushughulika na changamoto zinazohusu maeneo husika na kuiachia serikali kuu Nairobi kuwa na muda mwingi wa kutafakari, kubuni na kuratibu masuala makubwa na mazito.

Kwa kifupi rais wa Jamhuri ya Kenya hajahodhi madaraka mengi kupita kiasi kama alivyo rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye amejirundikia madaraka na majukumu mengi kupita kiasi hivyo kushindwa kujua ashike lipi liishe na kipi afanye baadaye.

Utawala wa ugatuzi ni mzuri ni utawala shirikishi na mambo yanaenda chapuchapu kwa kuwa kuna kugawana majukumu kupitia katiba hivyo wepesi kwa viongozi kutekeleza majukumu vizuri.
 
Kwa jambo hilo nawapongeza wakenya siyo kama sisi sa100 yupo kugombea toilet usiku na mchana hakuna chochote hata hapa dar es salaam kashindwa ...walijidai kuondoa wamacinga ila kwa sasa wamerudi tena wanao chafua mji kuliko ilivyo kuwa babla ....mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya hakuna mipango yoyote waliyo nayo vichwani zaidi ya kuvuana vyupi tu maofisini na ufisadi .....nilitegemea kuondolewa kwa wamachinga kunge ambatana na kupendezeshwa kwa mji wetu mitaani mjini na kufanya kuwa moja ya miji ya kitalii
 
Ndo maana Ofisi ya Rais budget yake imeisha miezi minne kabla!
 
Wale nao ni wasanii tu!!muda mwingi ni kukaa na kujibu hoja za odinga tu?!
Halafu jamaa ni MZEE WA KUKULUPUKA!!baada ya ile kauli yake kuwa serikali yao ni kama kampuni,wenye share kubwa ndio wanakula zaidi,kumletea shida,sasa ameanza kuwa makini kwenye hotuba zake,japo si muda atalizua jingine tu!!SERIKALI YA MIPASHO.wao wafanye kazi tu wananchi ndio watawasemea!!ila siasa za KENYA ni pasua kichwa.
Hili alilisema??? Ooh
Mbona kasheshe
 
Kenya kuna serikali kuu Nairobi na serikali za 47 za majimbo (kaunti) siyo kama Tanzania ambapo masuala ya ujenzi wa choo Sumbawanga mpaka Mwigulu Nchemba waziri wa fedha aidhinishe bajeti Dodoma baada ya rais kuidhinisha fedha.

Ndiyo manufaa ya ugatuzi wa serikali serikali za majimbo, rais wa Jamhuri ya Kenya ana fanya shughuli kubwa kubwa zenye mguso kwa nchi nzima kama mradi huu wa gesi itayotumika nchi nzima na kuzuia kufyeka miti kwa ajili ya mkaa utumike kupikia.

Serikali za kauti zinaongozwa na gavana pia zina bunge na mabaraza ya madiwani MCA ambao hushughulika na changamoto zinazohusu maeneo husika na kuiachia serikali kuu Nairobi kuwa na muda mwingi wa kutafakari, kubuni na kuratibu masuala makubwa na mazito.

Kwa kifupi rais wa Jamhuri ya Kenya hajahodhi madaraka mengi kupita kiasi kama alivyo rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye amejirundikia madaraka na majukumu mengi kupita kiasi hivyo kushindwa kujua ashike lipi liishe na kipi afanye baadaye.

Utawala wa ugatuzi ni mzuri ni utawala shirikishi na mambo yanaenda chapuchapu kwa kuwa kuna kugawana majukumu kupitia katiba hivyo wepesi kwa viongozi kutekeleza majukumu vizuri.
Mleta mada soma muongozo...
 
Mleta mada soma muongozo...

Mada kuu ni:

Je, wanapata saa ngapi muda wa kufanya majukumu yao? Yaani Rais wa Jamhuri ya Kenya pamoja na Naibu Rais.
Mada imeletwa Kwa mtizamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM ambaye amejaziwa majukumu kibao hataki ugatuzi wa mamlaka au madaraka na bila kuhasau kofia ya uenyekiti wa CCM
 
Freeman Mbowe aelezea faida ya majimbo
25 February 2023
 
Back
Top Bottom