Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
Chanzo ni wao, ni km harmonize asemavyo ila anajua kbs kula kuku na mayai ni kosa na ni aibu.Nina ukaribu sanaa na binti yangu na kila likizo tupo wote na mambo ya shopping za Shule, out za weekend tupo wote.
Mimi na mama ake tulishaachana zamaniii, ila SITOKUJA KUMUELEZA MADHAIFU YA MAMA AKE.
Kwanini WANAWAKE WANAWEZA?
#YNWA