Kwanini kina mama tu ndio huwa wanatueleza mabaya ya baba lakini sio rahisi kina baba kueleza mabaya ya mama?

Nina ukaribu sanaa na binti yangu na kila likizo tupo wote na mambo ya shopping za Shule, out za weekend tupo wote.

Mimi na mama ake tulishaachana zamaniii, ila SITOKUJA KUMUELEZA MADHAIFU YA MAMA AKE.

Kwanini WANAWAKE WANAWEZA?

#YNWA
Chanzo ni wao, ni km harmonize asemavyo ila anajua kbs kula kuku na mayai ni kosa na ni aibu.
 
Mchepuko hawezi kuzuia chuki inayopandikizwa kwa mtoto na mama , zaidi atafurahia anguko la familia yako.
Na kwa nini mpandikize chuki wakati hudumu muhimu baba anatoa? Huo ni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…