Ziwani si kuna upepo nahisi hiyo ndiyo inawasaidia ubaridi wa ziwani!Hiyo ni imani yako tu. Sisi huku huwa tunaenda na wali ziwani. Na chombo huwa ni kimoja. Unaula leo jioni ila hadi kesho jioni upo tu. Kama kunadharura unalika tena hata kesho jioni. Tukiondoa kupoa basi habari za kuchacha hatuzijui
Sent using Jamii Forums mobile app
kisaMzee wangu akila na mkono akimaliza tu kinachacha. Kama anavyosema mkuu huwenda bacteria.
pia kuna jamaa mtaani ukipika haangalii unachopika, ikitokea ametazama moja kwa moja hakiivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakukusaidia tu; tambua kwamba mmeng'enyo wa chakula huanzia mikononi;
Na mikono ya wanaume wengi ni michafu! kwasababu wanaume tunashika vitu vingi sana ukiachilia kushika Pmbu, K na tgo za watu n.k!
Hivyo siyo wasafi, ndiyo maana kuzalisha bacteria haraka zaidi kufanya chakula kioze!!!
Sijui kama nimejibu vyema
Nakubaliana na wewe. Wanaume wengi hawanawi mikono vzr kabla ya kula, na hata wakitoka chooni hawanawi mikono.Kwakukusaidia tu; tambua kwamba mmeng'enyo wa chakula huanzia mikononi;
Na mikono ya wanaume wengi ni michafu! kwasababu wanaume tunashika vitu vingi sana ukiachilia kushika Pmbu, K na tgo za watu n.k!
Hivyo siyo wasafi, ndiyo maana kuzalisha bacteria haraka zaidi kufanya chakula kioze!!!
Sijui kama nimejibu vyema
Story zingine bhana!!!!!Mzee wangu akila na mkono akimaliza tu kinachacha. Kama anavyosema mkuu huwenda bacteria.
pia kuna jamaa mtaani ukipika haangalii unachopika, ikitokea ametazama moja kwa moja hakiivi
Sent using Jamii Forums mobile app
iyo inaitwa Gahwa
Dah!! hii chaiMzee wangu akila na mkono akimaliza tu kinachacha. Kama anavyosema mkuu huwenda bacteria.
pia kuna jamaa mtaani ukipika haangalii unachopika, ikitokea ametazama moja kwa moja hakiivi
Sent using Jamii Forums mobile app