Kwanini Kiporo kilicholiwa kwa mikono na wanaume huchacha haraka kuliko kiliwacho na wanawake?

Kwanini Kiporo kilicholiwa kwa mikono na wanaume huchacha haraka kuliko kiliwacho na wanawake?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Kwa wenzangu wale walaji wa viporo na daku mtanielewa!

Ni hivi; Vyakula vinavyoliwa kwa mikono halafu vikabaki hadi asubuhi Kama (Viporo)!

Inaonesha kwamba vyakula Vinavyobakizwa na wanaume huchacha mapema zaidi kuliko vyakula vilivyo liwa na wanawake!

Kama huamini jipe mda kuchunguza utagundua ni hivyo;

Je; ni kipi kinaweza kuwa chanzo kwa hali hiyo kwa vyakula viliwavyo na wanaume?

KARIBUNI WADAU KUSHARE EXPERIENCE!
 
Kwakukusaidia tu; tambua kwamba mmeng'enyo wa chakula huanzia mikononi;
Na mikono ya wanaume wengi ni michafu! kwasababu wanaume tunashika vitu vingi sana ukiachilia kushika Pmbu, K na tgo za watu n.k!

Hivyo siyo wasafi, ndiyo maana kuzalisha bacteria haraka zaidi kufanya chakula kioze!!!
Sijui kama nimejibu vyema
 
Hiyo ni imani yako tu. Sisi huku huwa tunaenda na wali ziwani. Na chombo huwa ni kimoja. Unaula leo jioni ila hadi kesho jioni upo tu. Kama kunadharura unalika tena hata kesho jioni. Tukiondoa kupoa basi habari za kuchacha hatuzijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Ziwani si kuna upepo nahisi hiyo ndiyo inawasaidia ubaridi wa ziwani!
 
Kwakukusaidia tu; tambua kwamba mmeng'enyo wa chakula huanzia mikononi;
Na mikono ya wanaume wengi ni michafu! kwasababu wanaume tunashika vitu vingi sana ukiachilia kushika Pmbu, K na tgo za watu n.k!
Hivyo siyo wasafi, ndiyo maana kuzalisha bacteria haraka zaidi kufanya chakula kioze!!!
Sijui kama nimejibu vyema

Hahhahahaha
“Tigo za watu”. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mikono ya wanaume![emoji4][emoji4][emoji4]
tapatalk_jpeg_1578160529000.jpeg
 
Kwakukusaidia tu; tambua kwamba mmeng'enyo wa chakula huanzia mikononi;
Na mikono ya wanaume wengi ni michafu! kwasababu wanaume tunashika vitu vingi sana ukiachilia kushika Pmbu, K na tgo za watu n.k!
Hivyo siyo wasafi, ndiyo maana kuzalisha bacteria haraka zaidi kufanya chakula kioze!!!
Sijui kama nimejibu vyema
Nakubaliana na wewe. Wanaume wengi hawanawi mikono vzr kabla ya kula, na hata wakitoka chooni hawanawi mikono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii ni kutokana na wanawake kushikashika sana sufuria za moto na vifaa vingine vya jikoni hupelekea "bacteria waozeshaji" kuigopa sana mikono ya hawa viumbe.

Pia ile hali ya wanawake kuonja onja sana misosi kule jikoni inapelekea wadudu waozeshaji kuchukulia harufu ya mikono yao kuwa part&parcel ya msosi husika and hence hawawezi kuleta madhara hata wakishija chakula!
 
Back
Top Bottom