Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Wacha kuongopa hutambui hata elimu ya dini ati malika walizaa na wanadamu dah wewe unaakili kweli!?

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.

Inaonekana issue zilizo kitabu cha mwanzo ni way above your understanding. Soma Mwanzo 6. Japo nayo hautaielewa. Kamwulize mchungaji wako japo naye anaweza akawa na uelewa mdogo kama wewe.

Weka jazba kando katika kuelewa maandiko na historia.

Kamwulize mchungaji wako kuhusu Kitabu cha Yashari....Joshua 10:13: 2 Samwel 1:18 na kwa nini Katika Waraka wa Yuda, Henoko anatajwa....in Short Yuda amenukuu sura ya 15 ya kitabu cha Henoko....

Nimesema ukamwulize mchungaji wako kwa sababu wewe ni wazi ni mvivu wa kufikiri.

Umwombe akuwekee mikono akuombee usije ukachanganyikiwa utakapojulishwa vitu usivyovijua.
 
Inaitwa Clash of the titans
Hapana Clash of the titans ina zungumzia miungu ya kigiriki nahisi ,mambo ya zeus,poseidon perscus andromeda medusa...
kuna ingine inaitwa Wrath of the titans ina majitu makubwaa

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Yeah. Inaitwa immotaral ndo inazungumzua fallen Anjel. Na kuna series tv moja inaitwa Dominion
 
Natamani maandiko yake yangekuwepo ingekuwa inatoa mwanga kwa kila msomaji kuvisoma na kutafakari kisha kuja na maoni kuwa ni kwa nini hicho kitabu au hivyo vitabu vimetolewa.

Kuna wengi ambao hata hawavijui hivi vitabu.
 
Kanisa la katoliki ndo vinara wa kung'ofoa vitabu kwenye bibilia,nawalaani katika jina la muumba wa mbingu na nchi![emoji22]
Laana ni batili wakatoliki wanavitabu vingi kuliko walokole biblia ya wakatoliki inavitabu 73 na walokole ni 66 utakuwa umepata jibu mabingwa wakuchakacha ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini umeacha kumtaja Yohana? Aliyo ya andika Yohana yana tofauti na ulowataja?


Na washawasha!



baby wangu kumbe unamjua Mungu eeh ngoja nitafute kitabu cha tomaso halafu kitakuwa cha kweli maana huyu tomaso alikuwa mwanafunzi wa yesu so ina maana aliyoandika ni ya kweli maana aliyaona unlike kina mathayo .luka marko wale walisimuliwa tu
 
Kwa nini umeacha kumtaja Yohana? Aliyo ya andika Yohana yana tofauti na ulowataja?


Na washawasha!
gospel ya yohana
Kwa nini umeacha kumtaja Yohana? Aliyo ya andika Yohana yana tofauti na ulowataja?


Na washawasha!
haijulikani nani alikiandika mkuu .ila injili inasemekana iliandikwa na jamaa mmoja alieitwa sijui marko ambae alisimuliwa na rafiki yake ambae alikuwa rafiki wa rafiki wa mwanafunzi wa yesu
 
Yesu akiwa hapa duniani katika mafundisho yake akinukuu maneno yaliyo tamkwa na manabii huko mwanzo kabla ya yeye kuja ulimwenguni. Sasa nioonesheni wapi ambako Yesu alinukuu maneno yaliyo katika kitabu cha Henoko?


Na washawasha!
 
gospel ya yohana

haijulikani nani alikiandika mkuu .ila injili inasemekana iliandikwa na jamaa mmoja alieitwa sijui marko ambae alisimuliwa na rafiki yake ambae alikuwa rafiki wa rafiki wa mwanafunzi wa yesu

Je unajua yule mwanafunzi wa Yesu aliye mpenda sana? Na akasema ataishi milele na wanzake wakajafikri kuwa Bwana Yesu amesema hatakufa kwa maana ya kufa kimwili? Je Yohana haishi milele katika maandiko yake?


Na washawasha!
 
Kuna mtu Alishawahi kuniambia, Coptic ni Orthodox ya mashariki ya kati na Orthodox ni kanisa Katoliki la mashariki, yakatengana kiutawala tu baadae kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Orthodox ni dini ya mda mrefu sana hata kwenye mtakuso wa kwanza mtaguso mwaka 325 walikuwepo na Coptic, pia walikuwe pamoja na madhehe ya mwanzo unaweza Google ila Orthodox haimtambui papa kama kiongozi wao na walikuwa hawana uhusiano mzuri na katoliki hadi mwaka jana papa alipomtembelea kiongozi mkuu wa Orthodox

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba hapo awali wote walimtii Papa wa Roma hawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh asante ndio vitu kama hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enoki aliishi kabla ya gharika, uyo Yesu alikuja miaka mingi baada ya gharika huoni Kama ulichokiandika hakina ukweli
 
Hili la kusema Mungu Ana Wana mm sitoliamini kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…