Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Dunia ina mengi sana hatuyajuu,ngoja nikisake kitabu cha bibi vanga niongeze maarifa
 
Nimeipenda hii. Mimi ni mkristu lakini nimeipenda Sana ulivyojibu KWA utulivu na ufasaha.
 
Hivi huoni kwamba kumbe hicho kitabu kina faida zaidi ndio maana kikafichwa?

Kama ni kutumiwa vibaya mbona hata sasa watu wanatumia vibaya bible kwa manufaa binafsi? Kumbe hicho kitabu ndio kizuri kwa kumuamini Mungu ili kufukuza mambo mabaya, seems injili yake ina nguvu Zaid ndio maana wajanja uliowataja wanatumia kwa malengo yao binafsi ya kujinufaisha Sasa mimi nikikitumia kumtafuta Mungu na kuona miujiza yake Kuna shida gani?

Pili inaonekana ndicho msema kweli wa jinsi binadamu wa kwanza alivyoumbwa na alivyofanana,hii mambo ya wazungu kujimwamvafy haina maana
 


Kwa hiyo Enoch alikuwa mweusi?



Uzungu na weusi is pure science and it can easily be explained through Melanin

Hao malaika hawashuki tena?

Na hakuna malaika wa kike washuke kukutana na weusi?
 
Ivi jews bible si bado vipo ivo vitabu?
 
Makofi mengi kwako mkuu.[emoji1431][emoji1431][emoji1431]
 
Yes,indeed..binaadamu wa mwanzo kuumbwa na mwenyeenzi Mungu alikuwa mtu MWEUSI

Quran sura 15 Aya ya 26(suratil Hijrah),inasema kuwa Mungu alimuumba binaadamu wa mwanzo kwa udongo MWEUSI WA UFINYAZI..

Hii Aya wanaotafsiri Quran kutoka kiarabu kwenda lugha nyengine wameipindisha pindisha kutoa udongo wa rangi nyeusi

Kwa Vile Quran haibadiliki wanapata tabu,kubadilisha hii Aya
 
ulivyofanya utafiti wa awali endelea hivyo hivyo kufanya utafiti ili ujiridhishe na hiyo ''eti wanasema... ''
Wewe bado upo au ulipigwa Ban mzee unatafutwa sana huku!! ulikimbia jukwaa?
 
tatizo la watu wengi ni mareligious na sio spritual so kuna vitu hawataweza kuvijua maishani ! kuna biblia 6000 huku duniani .achana na hii moja ya mzungu aliyoiframe kwa manufaa yake hapa africa
Na tulifichwa sana enzi za utumwa na ukoloni tusijue Biblia, watumwa wa USA wakaibia muda wa kujua kusoma na kuandika, wakaijua kweli!! na asili yao, mzungu aliona hatari wakijua kusoma
 
kama wanefili ndo walikuja kua mapepo na majini vipi wale malaika walioasi pamoja na shetani je wao ni kina nani mkuu.?
Wanefil sio majini. Majini walikuwepo muda mrefu kabla binadamu hajaumbwa na wapo wanaomuabudu Mwenyezi Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…