Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Duu hizi Avatar kumbe zina hati miliki? Nilikuwa sijajua hilo....Sasa Denzel akiingia humu utamuambiaje?

ssio hatimiliki
wengi mno wanatumia picha za Denzel humu hujaniona nikisema chochote
hata wewe wapo wengi wanaotumia za Bob..but mtu kutumia the same single avatar
huoni analeta mix up?
 
Ni kwanini kilitolewa ikiwa kama hekima za Enoch i.e great grandfather of Noah zilitambuliwa na kutajwa waziwazi na waandishi wa agano jipya mfano Jude?

Ni maelezo marefu sana, one day nitapost pamoja na material yake, ila moja ya sababu ya kitabu chake kupata upinzani because Enoch alikua accurate na yeye peke ndie hata alie tumiwa na Mungu kutaja hadi majina ya wale malaika waasi wote ( Kiblibliaa hakuna mtu alie tembe na Mungu katika kiwango cha Enoch, alifikia kiwango total transformed kama malaika kiasi kwamba, alikua ana wa athiri watu, na ni mtu pekee alie fanya intersession kwa jiri ya malaika na hata Musa alithibitisha hilo ).

Mimi binafsi nakitumia kitabu cha Enoch, kuna kitabu cha Ibrahim pia... ukienda katika makumbusho ( Library kule Israel unavikuta).
 
ssio hatimiliki
wengi mno wanatumia picha za Denzel humu hujaniona nikisema chochote
hata wewe wapo wengi wanaotumia za Bob..but mtu kutumia the same single avatar
huoni analeta mix up?
Sawa ila mimi sioni ni tatizo kwa sababu huwa naangalia jina japo ni rahisi kwa mtu kumtambua mtu kwa avatar.

Basi atakuwa bossrappa
 
Ndugu mada ni mzuri utakosa wachangiaji, naomba uamishe uzi upeleke kwenye jukwaa la intelligence.
 
Mojawapo ya verse kutoka kwenye kitabu cha gospel of Thomas ni hii hapa mkuu:

1. And he said, "Whoever discovers the interpretation of these sayings will not taste death."

2. Jesus said, "Those who seek should not stop seeking until they find. When they find, they will be disturbed. When they are disturbed, they will marvel, and will reign over all. [And after they have reigned they will rest.]"
Haya mambo ni makubwa kumbe... Ndiyo maana huwa naquestion sana masuala ya dini

Do we believe what we are supposed to believe or what we are told to believe
 
ssio hatimiliki
wengi mno wanatumia picha za Denzel humu hujaniona nikisema chochote
hata wewe wapo wengi wanaotumia za Bob..but mtu kutumia the same single avatar
huoni analeta mix up?
Nabadiri mkuu aina shaka niliweka kwa mapenzi yangu sio kuleta confusion
 
Wapendwa, msidanganyike. Enoki alikuwa na vitabu viwili. Cha kwanza, ni mile kilichohusika na majina ya malaika wote , ukiwa ni pomaja na wale majemadari 72 waliofukuzwa mbinguni.

Kitabu hiki, ndicho kinachotumiwa na waganga, na hata wahubiri wa makanisa ya sasa katika kazi ya utoaji wa mapepo. Waganga Hawa, pia hutumia vitabu viwili vya mfalme sulemani alivyoviandika na kuvitumia katika mambo ya uuguzi.

Kwa hivyo,kitabu cha Enock cha majina ya malaika, hakina faida yoyote kwa Mtu asiyekuwa na mambo ya uganga, wanaokitumia kitabu hiki, ni wale wanaotaka kutumia watu vipande, na kutibu kwa njia ya uganga.

Sasa kama mkristo, unakatazwa kutafuta msaada kutoka kwa watu, viumbe vilivyoko mbinguni,(malaika), ya nini kuhangaika na kitabu chenye majina ya malaika?.

Kitabu cha pili cha Enock ni kitabu kinachohabari zote za maisha na kazi aliyoifanya Bw. Yesu. Yaani vitabu vya Injili (Mathayo, Marko, Luka , na Yohana. Maelezo ni Yale yale , tofauti ni kuwa badala ya jina la Yesu imeandikwa "kiongozi wa watu".) Hivyo hakukuwa na sababu yoyote ya kuhangaika na kitabu cha Enock .

Anayetaka kusoma kitabu cha pili cha Enock, asome Injili za mathato, Marko, Luka, na Yohana,.Achana na vitabu vya Enock vitakutenga na jina tamu, la Yesu maana wa Mungu Aishiye milele.
 
Back
Top Bottom