Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 850
Utingo wewe unazungumzia kusoma historia au kusoma neno la Mungu kama somo la historia hii ya elimu dunia?
Kama unaisona Biblia kama neno la Mungu basi lazima ujue Mungu ndiye hilo Neno. Kitabu cha Mwanzo1 tunajifunza Mungu alivyo uumba ulimwengu na vyote viujazovyo kwa kutamka Neno tu. Kitabu cha Yohana 1 kinatueleza kuwa huyu Mungu ni neno.
Lakini lazima ujue kuwa Mungu ni Roho na anapaswa kuabudiwa katika roho na kweli. Sasa huwezi soma Maandiko matakatifu kwa macho na akili hizi za nyama/mwili ukayaelewa ngo!! na rudia tena hutayaelewa ng'o!!. Ili uyaelewe lazima kumuomba Mungu akujaze Roho wake, otherwise ni kutwangwa maji kwenye kinu. Ndiposa utaona wengine wanalaumu watu kuwa too religious, haliepuki hilo as long as unajadili yaliyo katika Biblia. Shetani na mawakala wake hawakubali hili litokea maana watu watakapo lijua Neno la Mungu kwa uongozi wa Roho Mtakarifu ndio watakuwa wameijua kweli na kweli itawaweka huru. Wakiwa huru shetani hanachake tena.
Na washawasha!

Inaonekana issue zilizo kitabu cha mwanzo ni way above your understanding. Soma Mwanzo 6. Japo nayo hautaielewa. Kamwulize mchungaji wako japo naye anaweza akawa na uelewa mdogo kama wewe.
Weka jazba kando katika kuelewa maandiko na historia.
Kamwulize mchungaji wako kuhusu Kitabu cha Yashari....Joshua 10:13: 2 Samwel 1:18 na kwa nini Katika Waraka wa Yuda, Henoko anatajwa....in Short Yuda amenukuu sura ya 15 ya kitabu cha Henoko....
Nimesema ukamwulize mchungaji wako kwa sababu wewe ni wazi ni mvivu wa kufikiri.
Umwombe akuwekee mikono akuombee usije ukachanganyikiwa utakapojulishwa vitu usivyovijua.