Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Daaa Asante sana kaka kwa kunikumbuka

Sema niseme machache tu, watu wanauchukia ukweli na hawapendi kuujua ukweli, la msingi niseme hivi miongoni mwa watu walioishi masha ya kumjua na kutembea katika njia za Mungu Enoch ni mmoja wapo na katika biblia watu ambao wameenda Mbinguni pasipo kuonja mauti Enock ni mmoja wapo Genesis 5:24
Naongeza pia uzito huu Enoch is described as a man who "walked with God for 300 years" (Genesis 5:23)
Sasa inakuwa ni ajabu leo mtu aliyeishi maisha ya Kumtegemea Mungu siku zote na kisha Kazi zake zikapingwa.
Wahubiri ni kama wanawapa limbwata waumini ili wasielewe,
Ila kupitia hapo tuu jiulize
Mfano leo kazi za petro zifutwe zote inakuja kweli?
Sasa wanachukuliwa wepesi wepesi tu labda kwasababu hawajajua relation ya kitabu husika na biblia nadhani sababu wanakisikia kwa masimulizi pasipo kukisoma.
Ndio Maana Mungu anasema tunaangamia kwa kukosa maarifa,
Hasemi tunaangamia kwa kukosa ulinzi wake la hasha kwa kukosa maarifa.
Una ushahidi gani kwamba aliyeandika kitabu cha Enock alikuwa enock mwenyewe??? Kama una ushahidi ulete hicho kitabu kitawekwa kwenye biblia
 
Kanisa la katoliki ndo vinara wa kung'ofoa vitabu kwenye bibilia,nawalaani katika jina la muumba wa mbingu na nchi![emoji22]
Mbona ni kama kinyume chake? Vitabu vya Wakatoliki katika Biblia ni vingi kuliko vya Waprotestant
 
Nilisoma kitabu cha Enock sehem fupi tu pale anapopaishwa kwenda mbinguni ili kumficha dhidi ya maadui walotaka kumuua Enock kwa iman alimwomba Mungu amfiche adui wasimuone ndipo Mungu alipompaiza mbinguni na akuludi tena
 
Alafu nnachoshangaa mi kitabu cha tobiti akiubiliwi kabisa na wachungaji maaskofu mapadre kwanini???
 
Nilisoma kitabu cha Enock sehem fupi tu pale anapopaishwa kwenda mbinguni ili kumficha dhidi ya maadui walotaka kumuua Enock kwa iman alimwomba Mungu amfiche adui wasimuone ndipo Mungu alipompaiza mbinguni na akuludi tena
Je umesoma pale ambapo anawaombea msamaha wale malaika waliozaa na wanadamu..... Alafu Mungu akaukataa msamaha???

Nlipochoka eti kuna muda Enocko anamuonya kiongozi wa wale malaika cjui ni semyaza au azazel eti asipae karibu na jua nkajiuliza sasa kma gharika lilitokea duniani ilihali hao malaika walikuwa na uwezo wa kukaribia jua kvp wasikimbie mwezini alafu warudi baada ya gharika???

Hapo tu kitabu hiki nlianza kukidoubt
 
Kuna bonge la kitabu lilitolewa pia lilikuwa linaitwa gospel of Thomas!....... Nafikiri hiki ndo kilikuwa kitabu bora kabisa katika bibilia!.....Sisi wanadamu hasa wa dini ya kikatoliki ni wabaya sana![emoji22]
mkuu uko deep sana wewe hongera kwakuongea ukweli ambao wenzako hawataki hata kuutamka na pindi wanapoona kuwa umetamkwa huwa hawaachi kuruhusu nyuso zao kuacha kukunja ndita
 
Una ushahidi gani kwamba aliyeandika kitabu cha Enock alikuwa enock mwenyewe??? Kama una ushahidi ulete hicho kitabu kitawekwa kwenye biblia
Hata ningeleta ushahidi kila kitu kitabakia mapokeo tu hata vitabu vingine vyote katika biblia ushahidi ni wakuambiwa na marejeo tu.

hakuna ushahidi ambao unathibitika kwa kwa picha ama sauti.
Ni sawa na uvumbuzi wa kupata fuvu la kale jambo ambalo ni bahati bahati tu za utafiti.

Kitakachobakia ni Hiki what you receive and keep and believe ndicho powerful zaidi.

ndio maana hata biblia kitabakia kuwa kitabu cha kawaia tu usipopokea kilichoandika ndani yake, lakini kitakua kitabu cha tofauti na nguvu ya ajabu endapo ukikipokea na kukiweka ndani yako.

All in All sipo kuthibitisha kamba Enock ndiye mwandishi au lah, Suala ni kwamba kama biblia ilichambuliwa vitabu vya kuwekwa tena na watu ambao hawakuwepo katika uandishi wenyewe bai ni ishara tosha kuna mambo pia ambayo hayakwenda sawa na mataka yao yaliachwa nje vilevile na yale yaliyopendeza kwao yakawekwa.

So kimuingiacho mtu si harau bali kimtokacho
 
Kuna wakati huwa wanadamu tunataka kuumiza sana kichwa jjuu ya mambo ambayo yako wazi.

Maana biblia katika kuandikwa haikuandikwa kwa pamoja kama vitabu vya kileo ama kama inavyotolewa leo,

Pia baadaye maandiko yakaanza kukusanywa na kuwekwa pamoja ndipo tupate biblia. Swali la kujiuliza je waliofanya vitabu viwe pamoja nao waliongozwa na Mungu?

Kama waliongozwa na Mungu na hawajaandikwa ndani yake kuwa akina fulani watakuja kuikusanya biblia ama waliikusanya biblia akiongozwa na Mungu kwanini tujifariji kuwa waliongozwa na Mungu?

Walitumia vigezo vipi kutoa baadhi ya vitabu?
Vigezo hivyo vilitolewa na Mungu mwenyewe ama mwanadamu?

Yapo Mengi sana ya Mungu na yako Nje ya Biblia,
Tatizo sio ukubwa wa biblia kuna vitabu mtu anasoma viko matoleo ya kwanza mpaka ya sita mpaka kumi na mbili mpaka 20 kwanini isiwe Biblia?
Kuna vitabu vinene na vinapage nyingi kuzidi bi,,,...........................................................................
 
Vitabu vilivyopo ktk biblia vinatosha kabisa kukupeleka mbinguni maana vitakuongoza kumjua Mungu isipokuwa vichache vilivyoongezwa ktk biblia na kanisa Rc vitabu kama vile baruku, yoshua bin sira, tobithi n.k maana havina uhai ndani yake
Umevisoma nakuviona havina maana
 
mkuu uko deep sana wewe hongera kwakuongea ukweli ambao wenzako hawataki hata kuutamka na pindi wanapoona kuwa umetamkwa huwa hawaachi kuruhusu nyuso zao kuacha kukunja ndita
Acheni ushabiki watanzania mjenge tabia ya kusoma sio kulishwa matango pori

Kwanza hiyo injili ya thomas hakuna ushahidi imeandikwa na Thomaso mwenyewe na hakuna mtafiti ambaye amekubali kuwa kiliandikwa na Thomaso mwanafunzi wa Yesu

Pili kitabu hakitambui kuzaliwa kwa Yesu, hakitambui kifo cha Yesu wala kufufuka na kupaa kwa Yesu

Pili hakitambui uungu wa Yesu yaani kila muda Yesu akijadiliwa anaepuka kutambulishwa kama ana asili ya Uungu

Kingine hichi kitabu kinapingana na gospel za kwenye biblia hivyo hakiwezi kuwekwa kwenye biblia maana kinajichanganya sana kwa kuongea tofauti na injili zingine

Kwa ufupi ni HOAX sasa nyie mnaodanganyana mnaweza weka hapa ushahidi kuwa kitabu hiki kiliandikwa na Saint Thomas????
 
Back
Top Bottom