Daaa Asante sana kaka kwa kunikumbuka
Sema niseme machache tu, watu wanauchukia ukweli na hawapendi kuujua ukweli, la msingi niseme hivi miongoni mwa watu walioishi masha ya kumjua na kutembea katika njia za Mungu Enoch ni mmoja wapo na katika biblia watu ambao wameenda Mbinguni pasipo kuonja mauti Enock ni mmoja wapo
Genesis 5:24
Naongeza pia uzito huu Enoch is described as a man who "walked with God for 300 years" (
Genesis 5:23)
Sasa inakuwa ni ajabu leo mtu aliyeishi maisha ya Kumtegemea Mungu siku zote na kisha Kazi zake zikapingwa.
Wahubiri ni kama wanawapa limbwata waumini ili wasielewe,
Ila kupitia hapo tuu jiulize
Mfano leo kazi za petro zifutwe zote inakuja kweli?
Sasa wanachukuliwa wepesi wepesi tu labda kwasababu hawajajua relation ya kitabu husika na biblia nadhani sababu wanakisikia kwa masimulizi pasipo kukisoma.
Ndio Maana Mungu anasema tunaangamia kwa kukosa maarifa,
Hasemi tunaangamia kwa kukosa ulinzi wake la hasha kwa kukosa maarifa.