Kwanini kitimoto hakinogi na wali na badala yake walaji wengi hupendelea zaidi kukila na ugali au ndizi

Kwanini kitimoto hakinogi na wali na badala yake walaji wengi hupendelea zaidi kukila na ugali au ndizi

Ikiwa na sauce rosti utagonga safi tu na mpunga.
Swala ni kwamba walaji wengi walevi so hawapendi michuzi wala wali.
Tena umenikumbusha kesho mguu mzima supu nyepeeesi mdudu na ndizi 😁.
Rosti inafata na mpunga 👊
Dogo bado unakulaga burger za mlenda?
 
Nimetoka kuulizwa hapa pia. Mods kama mko na majibu na nyie changieni.
 
Back
Top Bottom