Kwanini kitimoto hakinogi na wali na badala yake walaji wengi hupendelea zaidi kukila na ugali au ndizi

Kwanini kitimoto hakinogi na wali na badala yake walaji wengi hupendelea zaidi kukila na ugali au ndizi

Popote kwenye Kitimoto wali huwa mwali tu ukija na chakula chako chochote cha maji maji kitimoto lazima ichukue point tatu haraka sana 😛
 
kila chakula kina mwenzie, huwezi kula wali kwa mlenda, huwezi kula ugali kwa chai, labda ufosi tu maisha yakiwa magumu
Kuna mwamba nilimkuta sehemu anakula ugali na bia. Yani bia ndio mboga.
 
Back
Top Bottom