Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Dogo bado unakulaga burger za mlenda?Ikiwa na sauce rosti utagonga safi tu na mpunga.
Swala ni kwamba walaji wengi walevi so hawapendi michuzi wala wali.
Tena umenikumbusha kesho mguu mzima supu nyepeeesi mdudu na ndizi π.
Rosti inafata na mpunga π
Umeibiwa hela yako tu,mifuta yote hii utafikiri nyama iliyotoka kwenye tako la vera sidikaNasubiri majibuView attachment 3392757
Eti na wewe jitu jeusi unatamani kuwa liarabu ukifa kwenye uislamu.Umeibiwa hela yako tu,mifuta yote hii utafikiri nyama iliyotoka kwenye tako la vera sidika
Mimi nina akili,siwezi kuwa kobazi
Ni sawa na wewe kuharisha bila sababuKaribuni wenye uelewa
#A Terrible death disgracefully
Uko sahihi hasa kwa mtazamo wangu. Lakini mimi naenda mbali zaidi na kusema hata nyama ya ng'ombe au mbuzi kwangu mimi sipendelei sana kula kwa wali.Karibuni wenye uelewa
Yaah kitimoto ni nyama inayokaa sana kwa tumboMimi nikilaga let's say muda huu saa tisaa mpaka kesho tena nakua nipo full tank
Utakua na matatizo makubwa sanaUko sahihi hasa kwa mtazamo wangu. Lakini mimi naenda mbali zaidi na kusema hata nyama ya ng'ombe au mbuzi kwangu mimi sipendelei sana kula kwa wali.
Ni kwa sababu wengi wao hawajuwi namna ya kuandaa/kupika roast nzuri ya kitimoto kula na wali....kitimoto ni starehe nyingine bwana, ile nyama ni out of this world.Karibuni wenye uelewa
Umedanganywa, ushawahi kula roast ya kitimoto na wali weye, asikudanganye mtu - yule mdudu akiroastiwa vizuri utatamani usiwe na wageni nyumbani maana alivyo mtamu, utamla bila kuchoka.Karibuni wenye uelewa
Mwenyewe nmeshangaaUmeibiwa hela yako tu,mifuta yote hii utafikiri nyama iliyotoka kwenye tako la vera sidika