kwanini kitimoto kwa sasa haiuziki tena?Nimeshuhudia kwa macho yangu nyama ya kitimoto kwa sasa inabaki.

Status
Not open for further replies.

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Katika mifungo hii ya kwaresima na mwezi wa Ramadhani kitimoto hauziki wakuu. kuna sehemu moja hapa kitaa ilikuwa hailali wala kutoboa hadi saa7 usiku bado ipo labda kama wamechinja nguruwe mbili.

Lakini kwa sasa kiti moto ndo hivyo tena hailiki ndg zetu wa upande wa pili tukisema ninyi ndo wateja wakubwa mnatuona tuna wakashifu jana nimenunua kg2 kwa 20k tu badala ya 24k hivyo wametoka kwenye 12 kwa kg1 hadi 10k tu lakini bado wanasema inabaki ukiangalia sisi wakristo tumejaa tele na tuna agiza bila hiyana kabisa lakini bado inabaki.

Hapa nimeamini wateja wakubwa ni wale wenzetu sitapinga tena hili na hakuna kipengele chochote kile!!

UNAFIKI MBAYA SANA
 
Tunahama ven
Screenshot_20250206-173445~2.jpg
 
Mbo

UNAFIKI MBAYA S

Fanya utafiti kwanzaa utapata majibu mazur😂
 
Sasa hv walaji wa kitimoto wanashinda njaa kuanzia asubuhi mpaka jioni, wanasubiri huu mwezi wa kubadilisha muda wa kula uishe ili warudi kwenye ratiba ya kila siku.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom