Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Hapo unaondoa kwato tu na manyoa aseeTunahama ven
View attachment 3264477
Shida ndo hii mtu akisema ukweli anakuwa mpenda shari au mleta vuruguHahahahaaaa wewe ni mpenda shari.
Katika mifungo hii ya kwaresima na mwezi wa Ramadhani kitimoto hauziki wakuu. kuna sehemu moja hapa kitaa ilikuwa hailali wala kutoboa hadi saa7 usiku bado ipo labda kama wamechinja nguruwe mbili.
Lakini kwa sasa kiti moto ndo hivyo tena hailiki ndg zetu wa upande wa pili tukisema ninyi ndo wateja wakubwa mnatuona tuna wakashifu jana nimenunua kg2 kwa 20k tu badala ya 24k hivyo wametoka kwenye 12 kwa kg1 hadi 10k tu lakini bado wanasema inabaki ukiangalia sisi wakristo tumejaa tele na tuna agiza bila hiyana kabisa lakini bado inabaki.
Hapa nimeamini wateja wakubwa ni wale wenzetu sitapinga tena hili na hakuna kipengele chochote kile!!
UNAFIKI MBAYA S
Fanya utafiti kwanzaa utapata majibu mazur😂Katika mifungo hii ya kwaresima na mwezi wa Ramadhani kitimoto hauziki wakuu. kuna sehemu moja hapa kitaa ilikuwa hailali wala kutoboa hadi saa7 usiku bado ipo labda kama wamechinja nguruwe mbili.
Lakini kwa sasa kiti moto ndo hivyo tena hailiki ndg zetu wa upande wa pili tukisema ninyi ndo wateja wakubwa mnatuona tuna wakashifu jana nimenunua kg2 kwa 20k tu badala ya 24k hivyo wametoka kwenye 12 kwa kg1 hadi 10k tu lakini bado wanasema inabaki ukiangalia sisi wakristo tumejaa tele na tuna agiza bila hiyana kabisa lakini bado inabaki.
Hapa nimeamini wateja wakubwa ni wale wenzetu sitapinga tena hili na hakuna kipengele chochote kile!!
UNAFIKI MBAYA SANA