Na ndio maana mkawaambia wachezaji wenu wakiuke maagizo ya kocha wa timu ya taifa.... Ili wafukuzwe kambini waje wacheze mechi ya kirafiki... Jinga kabisaInashindikana nini? Kila kitu kinakwenda na ratiba na mahitaji ya mwalimu. Timu haijacheza mechi kwa zaidi ya wiki sasa na wiki ijayo ligi inaendelea. Ni muhimu kwa mwalimu kupata mchezo wa kirafiki ili awaweke sawa kisaikolojia wachezaji wake.
Unaonesha namna gani ulivyo 'Mweupe' kichwani. Hujiulizi kwanini wameadhibiwa wachezaji na si Simba kama usemavyo ndivyo?! Pambaneni na Njaa zenu. Kwanza ushachangia timu yako? Unaweza kuwa unapiga 'Domo' wakati hujatoa mchango.Na ndio maana mkawaambia wachezaji wenu wakiuke maagizo ya kocha wa timu ya taifa.... Ili wafukuzwe kambini waje wacheze mechi ya kirafiki... Jinga kabisa
Heri ya wewe ambaye ni mweusi kichwani...Unaonesha namna gani ulivyo 'Mweupe' kichwani. Hujiulizi kwanini wameadhibiwa wachezaji na si Simba kama usemavyo ndivyo?! Pambaneni na Njaa zenu. Kwanza ushachangia timu yako? Unaweza kuwa unapiga 'Domo' wakati hujatoa mchango.
Wakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu ya taifa ya Uganda.
Najiuliza hivi wachezaji wao wangechaguliwa kuchezea timu yetu ya Taifa mechi hii ingekuwepo?
Huu ni mzaha mkubwa.
Mkuu,... M/kiti wa Zamani wa Simba Mh. Aden Rage aliwahi kutuambia kuwa Klabu yake ni Mambumbumbu hivyo usiwashangae Simba kwa Kitendo chao...
Ni wa kupuuzwa....
Ulimbukeni na ujinga
Ndiyo wanajifanya wamemvimbia kocha wa timu ya taifa
Walidhani timu ya taifa itafungwa eti kwa sababu ya wale watovu wa nidhamu kutimuliwa!
Timu ya Simba ni mambumbumbu... Hawajali utaifa kabisa
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Wacha niendelee kukutekenya ili ujichekeshe zaidi. Lete hoja nyingine.Heri ya wewe ambaye ni mweusi kichwani...
low thinking capacity African mind// mm ni mskata ngozi haijalish nachez clab gani cku ikijatokeaa nikaitwa timu ya taifa siwez kubali ata cku moja labd icwe bongo bbmWakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu ya taifa ya Uganda.
Najiuliza hivi wachezaji wao wangechaguliwa kuchezea timu yetu ya Taifa mechi hii ingekuwepo?
Huu ni mzaha mkubwa.
Mkuu wakikujibu nitag [emoji188]Hii Mishabiki Ya NdalaFC mengi yao Ni Mashabiki ya Ndondo Cup na Chandimu na Ndiyomana Hayajui Chochote Katika Mpira Bali yapo tu Kukariri na Kumeza Kila Wanachoambiwa.
Nani Kawaambia Kuwa ikicheza Timu Ya Taifa Huwa Vilabu Havitakiwi Kucheza Mechi Za Kirafiki??
√ Haya Leo Timu Ya Taifa Ya England inacheza vs Spain na Hawa Hapa Fulham Leo Leo Tarehe 8 wamecheza Mechi Ya Kirafiki.
View attachment 860811
Na Hapa Chini Ni Tarehe 7 ambapo Timu Ya Taifa ya Italy ilicheza vs Poland wakati Vilabu vya Parma na Udinese Vilicheza Mechi Za Kirafiki.
View attachment 860812
View attachment 860813
Je nao Huu Ni Ujinga na Ushamba Walioufanya Ulaya?
Acheni Uzezeta Kubalini Kujifunza Kwa Wenzenu Wa Ulaya Waliokwisha Kuendelea Katika Soka.
Yani Simba Akifanya Jambo Hamuishi Kelele Kama Vyura Wenzenu!!!
Sina hoja mzee wangu... Nimeishiwa siwajua Mimi ni mweupe kichwani....Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Wacha niendelee kukutekenya ili ujichekeshe zaidi. Lete hoja nyingine.
Hawezi kukuelewa mkuu.Unajibiwa kulingana na mtazamo wako. Unamtazamo hasi dhidi ya Simba na mechi yao ya leo.
AFC Leopards leo wamecheza na Simba na wakati huohuo Kenya imecheza,umesikia wapi Wakenya wakilalamika dhidi ya mchezo wa leo? Jibu ni moja tu,hawana mtazamo hasi na akili finyu kama za kwako.
Mh. Aden Rage alikuwa sahihi...khaa! Fulham inawachezaji wangapi ktk National team ya England? Vivyo hivyo kwa vilabu vya Parma na Udinese...
We nyang'au kwa taarifa yako tu, England leo kulikua na mechi zaidi ya 100 na team yao ya taifa inacheza na Spain leo, hizo genye zenu muwe mnazimaliza huko kwa wanaume wenu kabla ya kuja kulopoka huku.Wakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu ya taifa ya Uganda.
Najiuliza hivi wachezaji wao wangechaguliwa kuchezea timu yetu ya Taifa mechi hii ingekuwepo?
Huu ni mzaha mkubwa.
Nna wasi wasi mleta mada anaweza kuwa ni Anty Fulani sasa anawashwa shwa tu Club kubwa ya SimbaUnajibiwa kulingana na mtazamo wako. Unamtazamo hasi dhidi ya Simba na mechi yao ya leo.
AFC Leopards leo wamecheza na Simba na wakati huohuo Kenya imecheza,umesikia wapi Wakenya wakilalamika dhidi ya mchezo wa leo? Jibu ni moja tu,hawana mtazamo hasi na akili finyu kama za kwako.
Tatizo lao wanataka siku ya kucheza Taifa Stars iwe mapumziko kwa vilabu vyote.Hapo Omen fariji Tu Lakini Hukiongea la Maana..
Hivi Kwa Simba imetirosha Wachezaji Leo Timu ya Taifa Kwa Ajili Ya Kuichezea Simba?
Swali Ni Kuwa Je Fulham, Parma na Udinese Walipocheza Mechi Za Kirafiki Timu Zao Za Taifa Si Zilicheza Mechi Siku Hizohizo?
Hata Hiyo Simba ilipocheza Mechi ya Kirafiki Wachezaji Waliocheza Hakuwepo Hata Mmoja Anaeichezea Timu ya Taifa.
Acha ubabaishaji elewa hoja ya mtoa hoja, ameuliza Simba wachezaji wake wangeitwa Timu ya Taifa, hii mechi yao waliyoiandaa leo, wangecheza ama ingekuwepo? Ndipo panapo mtatiza, msome vizuri huenda hujamuelewa....Hapo Omen fariji Tu Lakini Hukiongea la Maana..
Hivi Kwa Simba imetirosha Wachezaji Leo Timu ya Taifa Kwa Ajili Ya Kuichezea Simba?
Swali Ni Kuwa Je Fulham, Parma na Udinese Walipocheza Mechi Za Kirafiki Timu Zao Za Taifa Si Zilicheza Mechi Siku Hizohizo?
Hata Hiyo Simba ilipocheza Mechi ya Kirafiki Wachezaji Waliocheza Hakuwepo Hata Mmoja Anaeichezea Timu ya Taifa.
Hahaaa...! Baba Njaa mbaya. Isikie kwa jirani tu. Wanatafuta pakutokea hao.Nna wasi wasi mleta mada anaweza kuwa ni Anty Fulani sasa anawashwa shwa tu Club kubwa ya Simba
Mikia wana Wivu kama wa Nyumba Ndogo. Akisikia Mke Mkubwa kapika nyama ya Ng'ombe na wali, yeye anapika Wali Samaki ili bwana ampende yeye!!!Inashindikana nini? Kila kitu kinakwenda na ratiba na mahitaji ya mwalimu. Timu haijacheza mechi kwa zaidi ya wiki sasa na wiki ijayo ligi inaendelea. Ni muhimu kwa mwalimu kupata mchezo wa kirafiki ili awaweke sawa kisaikolojia wachezaji wake.