Kwanini klabu ya Simba iandae mechi ya kirafiki timu ya Taifa ikicheza?

Inashindikana nini? Kila kitu kinakwenda na ratiba na mahitaji ya mwalimu. Timu haijacheza mechi kwa zaidi ya wiki sasa na wiki ijayo ligi inaendelea. Ni muhimu kwa mwalimu kupata mchezo wa kirafiki ili awaweke sawa kisaikolojia wachezaji wake.
Na ndio maana mkawaambia wachezaji wenu wakiuke maagizo ya kocha wa timu ya taifa.... Ili wafukuzwe kambini waje wacheze mechi ya kirafiki... Jinga kabisa
 
Unaonesha namna gani ulivyo 'Mweupe' kichwani. Hujiulizi kwanini wameadhibiwa wachezaji na si Simba kama usemavyo ndivyo?! Pambaneni na Njaa zenu. Kwanza ushachangia timu yako? Unaweza kuwa unapiga 'Domo' wakati hujatoa mchango.
 
Heri ya wewe ambaye ni mweusi kichwani...
 
Wakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu ya taifa ya Uganda.
Najiuliza hivi wachezaji wao wangechaguliwa kuchezea timu yetu ya Taifa mechi hii ingekuwepo?
Huu ni mzaha mkubwa.

Mkuu,... M/kiti wa Zamani wa Simba Mh. Aden Rage aliwahi kutuambia kuwa Klabu yake ni Mambumbumbu hivyo usiwashangae Simba kwa Kitendo chao...

Ni wa kupuuzwa....

Ulimbukeni na ujinga

Ndiyo wanajifanya wamemvimbia kocha wa timu ya taifa

Walidhani timu ya taifa itafungwa eti kwa sababu ya wale watovu wa nidhamu kutimuliwa!

Timu ya Simba ni mambumbumbu... Hawajali utaifa kabisa

Hii Mishabiki Ya NdalaFC mengi yao Ni Mashabiki ya Ndondo Cup na Chandimu na Ndiyomana Hayajui Chochote Katika Mpira Bali yapo tu Kukariri na Kumeza Kila Wanachoambiwa.

Nani Kawaambia Kuwa ikicheza Timu Ya Taifa Huwa Vilabu Havitakiwi Kucheza Mechi Za Kirafiki??

√ Haya Leo Timu Ya Taifa Ya England inacheza vs Spain na Hawa Hapa Fulham Leo Leo Tarehe 8 wamecheza Mechi Ya Kirafiki.

IMG_20180908_223320.jpg

Na Hapa Chini Ni Tarehe 7 ambapo Timu Ya Taifa ya Italy ilicheza vs Poland wakati Vilabu vya Parma na Udinese Vilicheza Mechi Za Kirafiki.

IMG_20180908_223345.jpg

IMG_20180908_223407.jpg

Je nao Huu Ni Ujinga na Ushamba Walioufanya Ulaya?

Acheni Uzezeta Kubalini Kujifunza Kwa Wenzenu Wa Ulaya Waliokwisha Kuendelea Katika Soka.

Yani Simba Akifanya Jambo Hamuishi Kelele Kama Vyura Wenzenu!!!
 
Wakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu ya taifa ya Uganda.
Najiuliza hivi wachezaji wao wangechaguliwa kuchezea timu yetu ya Taifa mechi hii ingekuwepo?
Huu ni mzaha mkubwa.
low thinking capacity African mind// mm ni mskata ngozi haijalish nachez clab gani cku ikijatokeaa nikaitwa timu ya taifa siwez kubali ata cku moja labd icwe bongo bbm
 
Hii Mishabiki Ya NdalaFC mengi yao Ni Mashabiki ya Ndondo Cup na Chandimu na Ndiyomana Hayajui Chochote Katika Mpira Bali yapo tu Kukariri na Kumeza Kila Wanachoambiwa.

Nani Kawaambia Kuwa ikicheza Timu Ya Taifa Huwa Vilabu Havitakiwi Kucheza Mechi Za Kirafiki??

√ Haya Leo Timu Ya Taifa Ya England inacheza vs Spain na Hawa Hapa Fulham Leo Leo Tarehe 8 wamecheza Mechi Ya Kirafiki.

View attachment 860811

Na Hapa Chini Ni Tarehe 7 ambapo Timu Ya Taifa ya Italy ilicheza vs Poland wakati Vilabu vya Parma na Udinese Vilicheza Mechi Za Kirafiki.

View attachment 860812

View attachment 860813

Je nao Huu Ni Ujinga na Ushamba Walioufanya Ulaya?

Acheni Uzezeta Kubalini Kujifunza Kwa Wenzenu Wa Ulaya Waliokwisha Kuendelea Katika Soka.

Yani Simba Akifanya Jambo Hamuishi Kelele Kama Vyura Wenzenu!!!
Mkuu wakikujibu nitag [emoji188]
 
Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Wacha niendelee kukutekenya ili ujichekeshe zaidi. Lete hoja nyingine.
Sina hoja mzee wangu... Nimeishiwa siwajua Mimi ni mweupe kichwani....
 
Unajibiwa kulingana na mtazamo wako. Unamtazamo hasi dhidi ya Simba na mechi yao ya leo.
AFC Leopards leo wamecheza na Simba na wakati huohuo Kenya imecheza,umesikia wapi Wakenya wakilalamika dhidi ya mchezo wa leo? Jibu ni moja tu,hawana mtazamo hasi na akili finyu kama za kwako.
Hawezi kukuelewa mkuu.
1. Elimu.
2. Elimu
3. Elimu
4. Elimu
5..
 
Mh. Aden Rage alikuwa sahihi...khaa! Fulham inawachezaji wangapi ktk National team ya England? Vivyo hivyo kwa vilabu vya Parma na Udinese...

Hapo umejifariji Tu Lakini Hukuongea la Maana..

Hivi Kwani Simba imetorosha Wachezaji Leo Timu ya Taifa Kwa Ajili Ya Kuichezea Simba?

Swali Ni Kuwa Je Fulham, Parma na Udinese Walipocheza Mechi Za Kirafiki Timu Zao Za Taifa Si Zilicheza Mechi Siku Hizohizo?

Hata Hiyo Simba ilipocheza Mechi ya Kirafiki Wachezaji Waliocheza Hakuwepo Hata Mmoja Anaeichezea Timu ya Taifa.
 
Wakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu ya taifa ya Uganda.
Najiuliza hivi wachezaji wao wangechaguliwa kuchezea timu yetu ya Taifa mechi hii ingekuwepo?
Huu ni mzaha mkubwa.
We nyang'au kwa taarifa yako tu, England leo kulikua na mechi zaidi ya 100 na team yao ya taifa inacheza na Spain leo, hizo genye zenu muwe mnazimaliza huko kwa wanaume wenu kabla ya kuja kulopoka huku.
 
Unajibiwa kulingana na mtazamo wako. Unamtazamo hasi dhidi ya Simba na mechi yao ya leo.
AFC Leopards leo wamecheza na Simba na wakati huohuo Kenya imecheza,umesikia wapi Wakenya wakilalamika dhidi ya mchezo wa leo? Jibu ni moja tu,hawana mtazamo hasi na akili finyu kama za kwako.
Nna wasi wasi mleta mada anaweza kuwa ni Anty Fulani sasa anawashwa shwa tu Club kubwa ya Simba
 
Hapo Omen fariji Tu Lakini Hukiongea la Maana..

Hivi Kwa Simba imetirosha Wachezaji Leo Timu ya Taifa Kwa Ajili Ya Kuichezea Simba?

Swali Ni Kuwa Je Fulham, Parma na Udinese Walipocheza Mechi Za Kirafiki Timu Zao Za Taifa Si Zilicheza Mechi Siku Hizohizo?

Hata Hiyo Simba ilipocheza Mechi ya Kirafiki Wachezaji Waliocheza Hakuwepo Hata Mmoja Anaeichezea Timu ya Taifa.
Tatizo lao wanataka siku ya kucheza Taifa Stars iwe mapumziko kwa vilabu vyote.
Then unasema huyu mtu yu timamu.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo Omen fariji Tu Lakini Hukiongea la Maana..

Hivi Kwa Simba imetirosha Wachezaji Leo Timu ya Taifa Kwa Ajili Ya Kuichezea Simba?

Swali Ni Kuwa Je Fulham, Parma na Udinese Walipocheza Mechi Za Kirafiki Timu Zao Za Taifa Si Zilicheza Mechi Siku Hizohizo?

Hata Hiyo Simba ilipocheza Mechi ya Kirafiki Wachezaji Waliocheza Hakuwepo Hata Mmoja Anaeichezea Timu ya Taifa.
Acha ubabaishaji elewa hoja ya mtoa hoja, ameuliza Simba wachezaji wake wangeitwa Timu ya Taifa, hii mechi yao waliyoiandaa leo, wangecheza ama ingekuwepo? Ndipo panapo mtatiza, msome vizuri huenda hujamuelewa....
 
Yani Sikujua Kama Mishabiki Ya Yanga Kama ina akili Fupi Zilizojaa Kinyesi Kiasi Hichi!!!!

Wanaonesha Hata Mpira Nje Ya Tanzania Hususan Kwa Wenzetu Walioendelea Zaidi Basi Wao Hawafatilii!!!!

Leo England Kulikuwa na Michezo 111 ya Kombe la FA wakati Timu Yao Ya Taifa inacheza na Wala Hukumsikia Mzungu Kulalamika!!

Lakini Hawa Walima Ugoro Wa Kibongo Wamekuwa Ndiyo Wanajifanya Wanaujua Mpira Zaidi!!!!.
 
Inashindikana nini? Kila kitu kinakwenda na ratiba na mahitaji ya mwalimu. Timu haijacheza mechi kwa zaidi ya wiki sasa na wiki ijayo ligi inaendelea. Ni muhimu kwa mwalimu kupata mchezo wa kirafiki ili awaweke sawa kisaikolojia wachezaji wake.
Mikia wana Wivu kama wa Nyumba Ndogo. Akisikia Mke Mkubwa kapika nyama ya Ng'ombe na wali, yeye anapika Wali Samaki ili bwana ampende yeye!!!
 
Back
Top Bottom