WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,373
- 3,139
Faida ya Mechi ya kirafiki ni kubwa mno.....kizungumkuti ni kupangwa na kuchezwa ktk mazingira ambayo watu wanaweza kuhisi kuna kukomoana baada ya sakata la wachezaji wa Simba kuenguliwa Stars.... Hapa ndipo panapoleta shida kuhusu dhamira ya dhati ya mechi ya Simba... Jiulize Stars ingefungwa na Simba ndio imeshinda hivyo, Hali ingekuwaje? Hususani kwa Kocha wa Stars...Labda nianze kwa kukuuliza, unajua faida ya mechi ya kirafiki?
Ndiyo wao wamealika African Lion, wajipime nayo, njaa sio mchezo, kilichokua kinanuka ukiwa na njaa, kinanukia.Hahaaa...! Baba Njaa mbaya. Isikie kwa jirani tu. Wanatafuta pakutokea hao.
Mzee achana na hoja Timu zao za Taifa, stick ktk tunazungumzia Wachezaji wao wangeitwa Taifa stars...ndipo utupe mtazamoKwani hakuna wachezaji, wa Simba wanaochezea timu zao za Taifa.
Unajua Yanga ilianzishwa, kwa minajili ya kisasa, sasa lazima wawe na mtanzamo wa kisiasa zaidi kuliko kimichezo.
Hii mechi yenu na African Lion, ipo kwa ajili ya nini.Match ya
Match ya Simba na AFC leopard ilikuwa maalum kwa ajili ya povu but Mungu si Mwakalobo wameumbuka!!!
Faida ya Mechi ya kirafiki ni kubwa mno.....kizungumkuti ni kupangwa na kuchezwa ktk mazingira ambayo watu wanaweza kuhisi kuna kukomoana baada ya sakata la wachezaji wa Simba kuenguliwa Stars.... Hapa ndipo panapoleta shida kuhusu dhamira ya dhati ya mechi ya Simba... Jiulize Stars ingefungwa na Simba ndio imeshinda hivyo, Hali ingekuwaje? Hususani kwa Kocha wa Stars...
Nimesema kama Stars wangefungwa jana....na Simba walivyoshinda jana... Lengo la Simba kuikomoa Stars lingekamilika.Kukomoana kunakuja wapi?
1. Taifa Stars anacheza Uganda saa 10 jioni, Simba anacheza Tanzania saa 12 jioni.
Washabiki wana nafasi ya kuangalia game zote, labda waliosafiri kwenda Uganda, au ambao hawajasafiri kwenda kuiona Taifa Stars kwa sababu ya mechi ya Simba (ambayo ni 0 probability).
2. Simba imetumia wachezaji waliobaki, si kwamba imezuia wachezaji kwenda Uganda ili icheze mechi ya kirafiki.
Nirudi kwako, wewe unaona kumetokea athari gani (achana na nadharia) kwa Simba kucheza jana?
Je Simba wameikomoa Stars kwa kipi?
Bado mech ingekuwepo tu, sababu hawakuchaguliwa timu mzima, bali sita tu, Yanga Leo wanacheza African Lion, sijui kama unalijua hilo, wachezaji waliopo timu ya Taifa hawatashiriki.Mzee achana na hoja Timu zao za Taifa, stick ktk tunazungumzia Wachezaji wao wangeitwa Taifa stars...ndipo utupe mtazamo
Kwani tatizo ni nini hapo ? Kwani wachezaji wa simba wote walichaguliwa taifa stars ? Wewe ulitaka hiyo mechi ichezwe kulingana na matakwa yako ? Je unajua ratiba ya fc leopard ? Kama nafasi yao ilikuwa ni Siku ya mechi ya stars je? Wajua pia fc leopard wachezaji wake wanne walikuwa kwenye kuakilisha taifa lao walipocheza na Ghana Sikuhiyo hiyo walipocheza na simba mbona hunasemaje hapo? Hatahivyo msemaji was simba alishasema mechi itachezwa baada ya vijana wetu kutuakilisha vema huko uganda wala mechi haitachezwa muda mmoja na ile ya simba na leopardsJibu hoja au hujaielewa.....wachezaji wa Simba wangechaguliwa ktk Timu ya Taifa hii mechi ya saa moja ingekuwepo!? Ndipo mtoa hoja anapotatizwa....?
Unafurahisha kwa kweli, ebu toa Usimba na Uyanga kwanza.Bado mech ingekuwepo tu, sababu hawakuchaguliwa timu mzima, bali sita tu, Yanga Leo wanacheza African Lion, sijui kama unalijua hilo, wachezaji waliopo timu ya Taifa hawatashiriki.
Azamu nao leo wanacheza Leoapard, wachezaji wa Azam waliopo Taifa Pia hawatashiriki.
Ila watu wa Yanga Simba Waliwapa nafasi Mashabiki wake kuona mpira wa Timu ya Taifa na Uganda, ndiyo maana mechi ya Simba ilianza Saa moja usiku.
Mpira hauwezi kuendeshwa kisiasa kama mnavotaka wa Yanga, ingwa Club yenu ilianzishwa kwa minajili hiyo.
Ila hizi zama zingine, achaneni na propaganda.
Nimesema kama Stars wangefungwa jana....na Simba walivyoshinda jana... Lengo la Simba kuikomoa Stars lingekamilika.
Sema Dua la kuku ndio hivyo halimpati mwewe.
Jiulize hali ya Kocha wa Timu ya Taifa ingelikuwaje, lawama zingemuweka ktk mazingira gani ya kuandaa Timu kwa ajili ya mechi zijazo.
Suala la kulinda nidhamu ya wachezaji lingekuwaje, je shinikizo la kutaka afukuzwe lisingekuwepo?
Kuwa mkweli Simba walikuwa na dhamira mbaya dhidi ya Kocha na Stars kwa ujumla...
Jibu. Simba haikufanikiwa kuikomoa stars kwa kucheza jana kwa kuwa Taifa stars haikufungwa....
Next?
Wewe unaniambia nitoe Usimba na Uyanga, wewe ungali yanga.Unafurahisha kwa kweli, ebu toa Usimba na Uyanga kwanza.
Vuta picha ya Sakata la wachezaji wa Simba kuondoshwa Taifa stars lilivyopokelewa ktk jamii yetu.
Alafu Taifa stars ilivyocheza jana ingefungwa mechi yao na Simba iliyocheza jana hiyohiyo kwa masaa tofauti Imeshinda.
Niambie hali ingekuwaje kwa Timu ya Taifa, Kocha wa Timu na TFF kwa maamuzi waliyoyachukua kwa ajili ya kulinda nidhama za wachezaji Stars.
Je wangeeleweka?
Nasubiri majibu...
Kwani manula anacheza yanga au yeye hana gundu ? Na alikuwa nyota was mchezoMbumbumbu hao alisema mwenyekiti wao mstaafu
Bila wachezaji wao Stars haikufungwa wachezaji wao ndo wana gudu
Majibu kaangalie ktk muhtasari wa kikao walichokaa Tff, Kocha wa T. Stars , wachezaji wa Simba waliotemwa pamoja na Viongozi wa Simba, ambacho msemaji wa Simba na Tff walitoa tamko la Pamoja..Natumia nguvu kueleweshana na mtu aliyekaa kinadharia na imani ambazo si za kimichezo, nakuuliza kukomoana kwa lipi?
Simba imezuia wachezaji wake wasiende Uganda?
Dah!!? basi usitoe usimba kaka, jitafakarishe kidogo ktk hiyo nadharia basi....Wewe unaniambia nitoe Usimba na Uyanga, wewe ungali yanga.
Kwani tatizo ni nini hapo ? Kwani wachezaji wa simba wote walichaguliwa taifa stars ? Wewe ulitaka hiyo mechi ichezwe kulingana na matakwa yako ? Je unajua ratiba ya fc leopard ? Kama nafasi yao ilikuwa ni Siku ya mechi ya stars je? Wajua pia fc leopard wachezaji wake wanne walikuwa kwenye kuakilisha taifa lao walipocheza na Ghana Sikuhiyo hiyo walipocheza na simba mbona hunasemaje hapo? Hatahivyo msemaji was simba alishasema mechi itachezwa baada ya vijana wetu kutuakilisha vema huko uganda wala mechi haitachezwa muda mmoja na ile ya simba na leopards
TFF si walizuia aavhezaji wa simba eti wamechelewa? Kuna ubaya gani simba kufanya yao?Wakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu ya taifa ya Uganda.
Najiuliza hivi wachezaji wao wangechaguliwa kuchezea timu yetu ya Taifa mechi hii ingekuwepo?
Huu ni mzaha mkubwa.
Taifa lenyewe halijali timu yake. Itakuwa simba?Timu ya Simba ni mambumbumbu... Hawajali utaifa kabisa
Wakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu ya taifa ya Uganda.
Najiuliza hivi wachezaji wao wangechaguliwa kuchezea timu yetu ya Taifa mechi hii ingekuwepo?
Huu ni mzaha mkubwa.