Ushawahi kuona barca inacheza wakati team ya taifa inacheza?
Jibu hoja au hujaielewa.....wachezaji wa Simba wangechaguliwa ktk Timu ya Taifa hii mechi ya saa moja ingekuwepo!? Ndipo mtoa hoja anapotatizwa....?
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]Mkuu,... M/kiti wa Zamani wa Simba Mh. Aden Rage aliwahi kutuambia kuwa Klabu yake ni Mambumbumbu hivyo usiwashangae Simba kwa Kitendo chao...
Ni wa kupuuzwa....
Mkuu hao vyura wasikuumize kichwa ni wakupuuzwaMechi ya simba ni mechi ya kirafiki ni kama zoezi tu,mbona Manula yupo kwenye timu ya taifa,kwani yanga mlikatazwa?wachezaji wa simba waliocheza Leo ni wale hawakuitwa taifa stars au wale walioachwa,kama nye yanga ni wazembe hamwezi kuita mechi ya kirafiki msitusumbue ndo maana mmebaki maskini timu ombaomba maana hamjitumi
OK nimebadilisha kama ulivyotaka Ila nawe jifunze kuandika. Hile Ndio mini? Halafu Baazi ni kitu gani? Kajifunze kwanza kiswahili cha kuunda silabi ndio uje humu Kwa Wanaume!!!Kwanza Tuheshimu Watanzania na Badilisha Kauli Yako!!!
Hile Haikuwa Taifa Stars Bali Kilikuwa Ni Kigenge tu Cha Amunike Kilichokusanya Wachezaji Kutoka Baazi Ya Vijitimu Hapa Tz.
Hii kitu aliyotumia ni ya R Chuga mkuu!! Hawezi hata kutamka maneno ha ha ha!!!Umevuta bangi ya wapi!!?
OK nimebadilisha kama ulivyotaka Ila nawe jifunze kuandika. Hile Ndio mini? Halafu Baazi ni kitu gani? Kajifunze kwanza kiswahili cha kuunda silabi ndio uje humu Kwa Wanaume!!!
Duh! Kazi ipo nchi hii. Hivi hujiulizi mechi ya Simba na Leopards imechezwa wapi? Ndo maana Musyoke aliamua kutuletea mashindano ya vilabu hapa wakati wa mechi za fainali za kombe la dunia !!!!!Unajibiwa kulingana na mtazamo wako. Unamtazamo hasi dhidi ya Simba na mechi yao ya leo.
AFC Leopards leo wamecheza na Simba na wakati huohuo Kenya imecheza,umesikia wapi Wakenya wakilalamika dhidi ya mchezo wa leo? Jibu ni moja tu,hawana mtazamo hasi na akili finyu kama za kwako.
Mkuu, kusudio la hiyo mechi lilikuwa kuifunika ile ya Stars na The Cranes. Nawashukuru wahariri wa magazeti mengi leo kuipotezea mechi hii ya chuki dhidi ya Taifa.Na ndio maana mkawaambia wachezaji wenu wakiuke maagizo ya kocha wa timu ya taifa.... Ili wafukuzwe kambini waje wacheze mechi ya kirafiki... Jinga kabisa
Mkuu, hao wanaotetea uamuzi huo watupe idadi ya mechi kwa vilabu vya Simba na Yanga ni ngapi zilichezwa siku moja na mechi za Taifa Stars.Acha ubabaishaji elewa hoja ya mtoa hoja, ameuliza Simba wachezaji wake wangeitwa Timu ya Taifa, hii mechi yao waliyoiandaa leo, wangecheza ama ingekuwepo? Ndipo panapo mtatiza, msome vizuri huenda hujamuelewa....
Mkuuu Simba alicheza ManulaStars Bila Simba inawezekana
Mkuu, tokea sakata hili la wachezaji wa klabu ya Simba kuachwa Kaduguda kila akihojiwa yeye ni kutoa lawama tu.Nimesema kama Stars wangefungwa jana....na Simba walivyoshinda jana... Lengo la Simba kuikomoa Stars lingekamilika.
Sema Dua la kuku ndio hivyo halimpati mwewe.
Jiulize hali ya Kocha wa Timu ya Taifa ingelikuwaje, lawama zingemuweka ktk mazingira gani ya kuandaa Timu kwa ajili ya mechi zijazo.
Suala la kulinda nidhamu ya wachezaji lingekuwaje, je shinikizo la kutaka afukuzwe lisingekuwepo?
Kuwa mkweli Simba walikuwa na dhamira mbaya dhidi ya Kocha na Stars kwa ujumla...
Jibu. Simba haikufanikiwa kuikomoa stars kwa kucheza jana kwa kuwa Taifa stars haikufungwa....
Next?
Ungekua huna uyanga, ungeona ule ni mchezo wa kujipima nguvu, kama nyie mlivyocheza na African Lion leo. Hivi Makambo alikuwepo?Dah!!? basi usitoe usimba kaka, jitafakarishe kidogo ktk hiyo nadharia basi....
Hebu acha kuhororoja na wewe..! Unaweza kuthibitisha pasi na shaka kuwa lengo la Simba lilikuwa hilo?Duh! Kazi ipo nchi hii. Hivi hujiulizi mechi ya Simba na Leopards imechezwa wapi? Ndo maana Musyoke aliamua kutuletea mashindano ya vilabu hapa wakati wa mechi za fainali za kombe la dunia !!!!!
Nimependa wahariri was magazeti mengi ya Leo kuipotezea mechi ya Simba na Leopards.
Mzaha gani kwani mechi ya simba imezuia mechi ya timu ya taifa kutochezwa? Acheni wivu watani.Wakuu, nimetatizwa na uamuzi wa uongozi wa klabu ya Simba kuandaa mechi ya kirafiki na timu ya AFC Leopards tena ikichezwa hapa nchini wakati timu yetu ya Taifa ikicheza katika mashindano na timu ya taifa ya Uganda.
Najiuliza hivi wachezaji wao wangechaguliwa kuchezea timu yetu ya Taifa mechi hii ingekuwepo?
Huu ni mzaha mkubwa.