Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Zamani huko Ulaya, ukipinga ukiristo unapatilizwa chini ya kile kilichoitwa inquisition.
Kwenye uislam, ukiupinga chini ya dhana ya jihad unauawa.
Huwa nashangaa.
Kwanini kupigania dini ya 'Mungu' kana kwamba Mungu hana uwezo wa kuipigania dini yake?
Tunapigania dini ya Mungu au maslahi binafsi kama siyo matokeo ya uzwazwa wa imani?
Leo ukimtukana Yesu au Mohamed, utakipata cha moto. Kwanini kupigana juu ya viumbe waliotoweka zamani?
Kwanini kupigania viumbe wa Mungu wakati Mungu tunaambwa yupo siku zote?
Yeye atafanya kazi gani? Leo hii ukimtukana mtume, wapo watakaojitoa mhanga kukuulia mbali.
Ajabu ukiwatukana hata kuwapiga wazazi wao wanakimbilia kituo cha polisi.
Wana akili timamu na sawa sawa hawa kweli?
Je wanajua wanachofanya?
Je hawahitaji msaada?
Je tuwasaidieje?