malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Wadau tutafakari wote pamoja,kwanin Sasa hivi kumekuwa na wanaojita washauri wa uwekezaji wengi hasa,wanashauri mambo ya hisa,hatifungani
Kwani hawashauri watu wawekeze katika uwekezaji wa viwanda na biashara Kuna nini nyuma Hadi uhamasishaji umekua mkubwa
Kila mtu nimshauri wekeza kwenye hisa sjui crdb,nmb,bond