Kwanini kumekuwa na vifo vingi vya vijana wadogo miaka 18-26?

Hii ni mwenzio akinyolewa ITOSHE KIFO NI MAWAIDHA TOSHA
 
Hii sababu wengi sana wanaitumia ila si kweli. Maana siku hizi watu wanashuhudia haya mitaani kwao. Sababu nyingi za vifo kutekwa, kuuliwa ghafla bila kosa,ajali mbali mbali,magonjwa ya ghafla hasa presha
 
Wengine waliwekewa mwilini cu na waimla.
 
Hizo double kick, visungura, konyagi na kvant mnazokunywa hovyo mnaachaje kufa.

Mtoto anakuambia "faza kaburi tuta tu" unadhani anapenda kuishi huyo?
 
Hizo double kick, visungura, konyagi na kvant mnazokunywa hovyo mnaachaje kufa.

Mtoto anakuambia "faza kaburi tuta tu" unadhani anapenda kuishi huyo?
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…