Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Hospitali zote kubwa kuna misikiti, kuswalia maiti hasa wanaozikwa na Serikali. Hata Muhimbili upo.Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Nenda kaivunje yote,anzia pale muhimbili, na chuki yako kuuWakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Mbona kuna makanisa pia ndani ya hospitali ya kcmc na Seliani ArushaWakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Imekaa vizuriUngeuliza kwanini hakuna kanisa kama ukitaka iufanya ibada, makanisa na misikiti ipo maeneo mengi ya umma, hata muhimbili. Be proactive
THAT IS A CATHOLIC INSTITUTIONHospitali ya Bugando, Mwanza kuna kanisa katoliki, shahidi Numbisa
Kqamba serikali inamswalia kwanzaHospitali zote kubwa kuna misikiti, kuswalia maiti hasa wanaozikwa na Serikali. Hata Muhimbili upo.
Ndio, Serikali inaapisha, Mahakama inaapisha watu kwa Dini zao, Serikali haina Dini ila inatambua Dini, hivyo inapozika watu inazika kutokana na dini zao.Kqamba serikali inamswalia kwanza
Hospitali xa taasisi za diniMbona kuna makanisa pia ndani ya hospitali ya kcmc na Seliani Arusha
Kcmc na selian owners wake unawajua?Mbona kuna makanisa pia ndani ya hospitali ya kcmc na Seliani Arusha
umechemka ulipotaja uislam ni dini haki, kwani zingine hazina haki? Acha ujingaWakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Vya kahawa tuumechemka ulipotaja uislam ni dini haki, kwani zingine hazina haki? Acha ujinga
Hospitali nyingi kubwa zina sehemu za msikiti au hata makanisa yanasaidia wagonjwa kusali,pia wanatumia kuombea wagonjwa wanaozikwa na serikaliWakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.