LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
hivi unajua dini yako unayoiabudu ni kansa ya dunia?Dini zingine ni vigenge
Vya kahawa tu
hivi unajua dini yako unayoiabudu ni kansa ya dunia?Dini zingine ni vigenge
Vya kahawa tu
Sasa, ulitaka,waweke bar au, guest house?Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Ushasema Tanga, ule mkoa kwa kweli ni kama umelaaniwa tuWakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Muhimbili pia kuna msikiti na kanisaWakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Muhimbili hujauona Msikiti? Kanisa je? Kama ushawahi kuona, ulihoji kama hivi kuhusu Bombo?Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Ushasema Tanga, ule mkoa kwa kweli ni kama umelaaniwa tu
Nani kaongelea owners?? Tunaongelea uwepo wa nyumba za ibada mahosptalini. Habari ya kuwajua owners ni unataka kuleta kihereKcmc na selian owners wake unawajua?