Kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa ya Tanga( Bombo)

Kwasababu waislam wanaswali sala 5 kwa siku we unataka kanisa lijengwe la nini si popo watajaa
 
Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Sasa, ulitaka,waweke bar au, guest house?
Hiyo ni nyumba ya, ibada,sio lazima ziwepo nyumba za, ibada za, Imani zingine,
Pale Oceanroad dar, upo msikiti na kanisa,
Ile hospitari IPO tangu kipindi cha mjerumani
 
Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Ushasema Tanga, ule mkoa kwa kweli ni kama umelaaniwa tu
 
Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Muhimbili pia kuna msikiti na kanisa

Ova
 
Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Muhimbili hujauona Msikiti? Kanisa je? Kama ushawahi kuona, ulihoji kama hivi kuhusu Bombo?
 
Makafiri wanatamani siku moja itangazwe kuwa nchi hii ni ya Kikristo na Uislamu upigwe marufuku.
 
Kcmc na selian owners wake unawajua?
Nani kaongelea owners?? Tunaongelea uwepo wa nyumba za ibada mahosptalini. Habari ya kuwajua owners ni unataka kuleta kihere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…