Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

Wakristo wanafunga kama ibada,wengine mnabadili ratiba ya msosi kama kanuni inavyowalazimu mnaita kufunga.
sisi tunafunga kujipa uimara wa kupokea majibu ktk maombi tuliyoomba,na sharti ni kwamba kilichosalia kama mbadala wa sehemu yako kula unatakiwa utoe kama sadaka utakapovuviwa.

Umeshajiuliza kwanini magimbi,maviazi na mihogo hupanda sana bei wakati kimahesabu walaji wamepungua mtaani kipindi cha ramadaaan
 
Kufunga ni lazima kwahiyo waislamu wapo sahihi kiufupi hakuna watu wanaofuata maandiko kuwazidi waislamu,viongozi wa kikristo wanapotosha maandiko kiasi kwamba utakuta wanasigana na maandiko mwisho wa siku uislamu unakuwa kwa kasi
nani anajiunga na uislam miaka hii? Bora uwe mpagani tu kuliko kuwa muislam, maana dini hiyo ni abrakadabra tu wala hakuna Mungu huko
 
Maandiko kuhusu kufunga "Mnapofunga msionyeshe huzuni kama wafanyavyo wanafiki. Maana wao hukunja nyuso zao ili kujionyesha nawaambieni kweli kwamba wao wamekwisha kupata tuzo yao. Lakini mnapofunga jipakeni mafuta kichwani na kuosha nyuso zenu ili kufunga kwenu kusijulikane kwa mtu. Ila baba yenu aliye sirini na baba yenu aonaye sirini atawapa thawabu"
 
Mifungo yote haina maana yo yote iwe Kwaresma au Ramadhani! Zinafungwa kidini si kwa maana halisi ya kutubu dhambi na Kuacha!
Wakimaliza mifungo wanaendelea na kufanya uovu na dhambi za kila namna!
Machoni pa Mungu, ni kujitesa kwa njaa tu!
 
Alfajili na mapema unakula hadi unavimbewa, jioni pia unakula vyakula tena vingi kwa ulafi. Usiku wa manane unaamka unakula tena .

Yaani kwenye mfungo badala demand ya vyakula ipungue ili bei ishuke badala yake vitu ndio vinapanda bei. Inabidi tuache maigizo na kila mmoja wetu ajitafakari kulingana na Imani yake

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom