Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.

Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo

Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.

Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
Wajukuu wa moudy on freaky
 
Wakristo wanafunga kama ibada,wengine mnabadili ratiba ya msosi kama kanuni inavyowalazimu mnaita kufunga.
sisi tunafunga kujipa uimara wa kupokea majibu ktk maombi tuliyoomba,na sharti ni kwamba kilichosalia kama mbadala wa sehemu yako kula unatakiwa utoe kama sadaka utakapovuviwa.

Umeshajiuliza kwanini magimbi,maviazi na mihogo hupanda sana bei wakati kimahesabu walaji wamepungua mtaani kipindi cha ramadaaan😁😁😁

Jibu ni moja,wadogo zetu mnakula sana kipindi hiki kuliko wakati wowote🤣🤣🤣

Right kama wakristo kwa aina yao ya mfungo wangekuwa wanafunga siku 40 zote kila mmoja kwa kulazimishwa,nyinyi mchwa kipindi hiki cha kwaresma mngenunua sukari mpaka shilingi 500 kilo,bidhaa za vyakula zingekosa soko kabisa,watu hawali mzee wanafunga kweli kweli sio sarakasi hizo mnapiga.
Nakazia hapo kwenye kubadili ratiba ya msosi...

Badala ya Milo mitatu ya mchana inahamia USIKU

⛏️⛏️🔨🔨🔨🔨
 
Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.

Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo

Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.

Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
Kwa hiyo kuna mashindano ya mfungo?!
Kwamba dini gani wanafunga zaidi,?!
 
Ufungaji wa wakristo siyo wa makelele kama ufungaji wa Muslims, Muslims huwa mnafunga kwa sheria na kulazimishwa, Christians wanafunga Kwa nia na si lazima iwe wakati wa Kwaresma tu
 
Kufunga kwaresma haihitaji matangazo wala kulazimisha watu kutokula hadharani wala kufuturisha watu kwa showoff. Funga iwe yako na Muumba wako.
wale wapuuzi wanadhani funga hii ni sawa na yao ya kujitangaza
 
Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.

Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo

Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.

Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
Ramadhani unamaanisha badala ya kula mchana unakula usiku

Unafahamu maana ya kwaresma ?Kwaresma sio kushinda njaa au kubadili milo na kula usiku

Kwaresma ya katoliki na wao ndio wahusika wanaongelea matendo ya huruma ,kusaidia wahitaji na wana shirika linaitwa caritas linafanya kazi kila siku halisubiri kwaresma kuelekea Pasaka

Halafu hata pasaka kwa wakatoliki ni kila jumapili ni pasaka wanaadhimisha pale mbele kufa na kufufuka kila jumapili

Kwaresma ni endelevu haishi siku ya Pasaka,Wakatoliki kwao kwaresma ni kila siku

Matendo ya huruma ni kila siku yaani mpende jirani yako
 
Mifungo yote haina maana yo yote iwe Kwaresma au Ramadhani! Zinafungwa kidini si kwa maana halisi ya kutubu dhambi na Kuacha!
Wakimaliza mifungo wanaendelea na kufanya uovu na dhambi za kila namna!
Machoni pa Mungu, ni kujitesa kwa njaa tu!
funga zote hizo mbili ni za kipuuzi na Mungu hazitambui, watu wanajitaabisha kwa ujinga wao
 
we mshenzi nini? Sasa hata kama dunia nzima iwe ya kiislamu ndio unadhani Mungu atakuwepo huko kuabudiwa? Umelewa tilatila mafundisho potofu ya dini yako unayoitetea
We kumer mayor Koma ukomae kama unavyoliwa rinda msenger mmoja wewe mafundisho potovu Si yenu nyinyi makafiri waabudu mtu na masanamu
 
Nadhani unaelewa kwaresma inawahusu zaidi wakristu wakatoliki na wale wenye ufanano nao. The rest christians kwaresma hawajui ni kitu gani na hakipo katika imani yao. Haohao wakristo wasioitambua kwaresma hata hiyo ramadhani hawaijui ni kitu gani na hawashiriki kula futari zake kwa kuwa huiona ni ibada ya kipagani/sanamu na ni dhambi kushiriki ibada za namna hiyo. We kama mtu wa serikali muabudu ramadhani andaa tu hafla ya futari hiyo lakini hutaona mkristo anafakamia chakula hicho cha ibada yenu, utaona hao wa kwaresma wakija kula hicho chakula cha ibada yenu.
Unajiita Mkristo wakati wakatoliki wao ndio waanzilishi wa ukristo mpaka Biblia wameandika wao

Sasa unabishana na mkatoliki aliyeandika biblia na kuisambaza

Bibilia yenyewe ni kubwa sana ,

Watu walipokimbia katoliki akina Martin luther wakapunguza vitabu

Acha kuchekesha watu mkuu?
 
Back
Top Bottom