Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

Na kufunga si lazima kutoacha kula na ukifunga si lazima kutiatia huruma
 
Wakristo kufunga ni hiari sio lazima na mwiko kulazimisha mtu mwingine kufunga kwa kumkomesha mfano una sehemu ya kuuza chakula unatakiwa uendelee kuwahudumia wengine wasiofunga

Wakristo mwiko kujionyesha umefunga waislamu lazima ajionyeshe kafunga,kitetema mimate ovyo kelele kibao niko mfungo na amri kibao wanafunga sehemu za vyakula vya kupika nako unakuta sehemu kama Zanzibar na nmchi za kiislamu serikali na Jeshi lai polisi wanasimamia zoezi la kufunga na matamko ya ole wako ukutwe unakula hadharani mfungo unasimamiwa na Ayatollah serikali inageuka kipindi cha Ramadhani kuwa serikali ya ma Ayatollah

Halafu Ramadhani bei hupanda za vyakula sana sababu kubwa ni kuwa waislamu huo mwezi hula kama mchwa kuliko.miezi yote katika mwaka.Demand ya vyakula huwa kubwa mno kuliko.kipindi chochote cha mwaka.Waislamu hutunza pesa wakisubiri wale sana Ramadhani.

Ila uislamu wa Tanzania na Zanzibar ni uislamu wa mwezi wa Ramadhani.Mwezi wa Ramadhani biashara za pombe , kitimoto na guest House mwezi wa Ramadhani huwa zinadoda
 
Njaa mbaya sana. Wa kristo wanafunga kwa siri sio kama nyinyi mwez wa Ramadhan kanzu nyingi na kupaka mkaa eti sigda😆😆
Siku zote kufunga au kutofunga ni siri ya mtu mwenyewe mwengine hauwezi kujua kwa uhakika kama fulani kafunga kweli ama sivyo.
 
Wauza kitimoto wa wapi maana nchi hii kubwa mkuu?
Biashara ya kitimoto hudoda sana mikoa ya Pwani ikiwemo Dar es salaam kwenye waislamu wengi mwezi wa Ramadhani.Wenye bucha za nguruwe wengine hufunga kabisa mwezi wa Ramadhani wanasema huwa hakuna wateja .Idd ikifika tu kiti moto unakisubiria kwa foleni.Soko linarudi kwa nguvu
 
Mbona hawafungi ila wanabadili ratiba ya kula tu, watu wanafukia saa moja jioni na saa kumi za usiku mpaka tumbo linakuwa fulll
Wanafunga kwa huo muda ambao hawatakiwi kula au wewe unafikiri kufunga ni kukoje mkuu? Hata ingekuwa kwa saa moja tu ni kufunga.
 
Alfajili na mapema unakula hadi unavimbewa, jioni pia unakula vyakula tena vingi kwa ulafi. Usiku wa manane unaamka unakula tena .

Yaani kwenye mfungo badala demand ya vyakula ipungue ili bei ishuke badala yake vitu ndio vinapanda bei. Inabidi tuache maigizo na kila mmoja wetu ajitafakari kulingana na Imani yake

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Kwani kufunga kulitakiwa kuweje mkuu?
 
Dsm mkuu, nilishasikia wakisema.
Kwahiyo hiyo ina maana Dsm kuna waislamu wengi kuliko imani zengine na ndio maana wao wanakuwa wengi kiidadi kwa wateja wa kitimoto au tuseme Dsm waislamu ni wapenzi sana wa kitimoto kuliko imani zengine?
 
Biashara ya kitimoto hudoda sana mikoa ya Pwani ikiwemo Dar es salaam kwenye waislamu wengi mwezi wa Ramadhani.Wenye bucha za nguruwe wengine hufunga kabisa mwezi wa Ramadhani wanasema huwa hakuna wateja .Idd ikifika tu kiti moto unakisubiria kwa foleni.Soko linarudi kwa nguvu
Navyojua mie walevi wengi ndio wateja wakubwa wa kitimoto sasa kama hizo sehemu kuna waislamu wengi basi hao miongoni mwao ambao walevi ndio wateja wa kitimoto hivyo hakuna ajabu kwa hilo au tuseme kitimoto inapendwa zaidi na waislamu kuliko wakristo?
 
Kwahiyo hiyo ina maana Dsm kuna waislamu wengi kuliko imani zengine na ndio maana wao wanakuwa wengi kiidadi kwa wateja wa kitimoto au tuseme Dsm waislamu ni wapenzi sana wa kitimoto kuliko imani zengine?
Achilia kitimoto, hata biashara za bar zinashuka sana, watu wanakunywa beer kitimoto washindwe?
 
Mleta uzi anafikiri Kwaresma ni kufunga kula tu- Yaani yeye anawaza matumbo tu na ma-biliani, kachori, wali n.k.Bado upo ki- nje na kidunia sana wewe, huelewi maana ya kufunga.
Wenzetu naona show off nyingi ni kwenye kujinyima msosi hasa muda wa mchana-maana mtu kama anakula saa kumi asubuhi - tena anapigilia kwelikweli..then anakunja sura mchana kuwa kafunga- haiingii akilini..
Kufunga ni kumrudia Mwenyezi Mungu, kuongeza muda wa tafakari, kujitahidi kutenda matendo mema na kuyaendekeza hata baada ya mfungo kuisha, kujiumiza na kunyinyima kwa ajili ya kukukumbusha wajibu wa kumrudia Mungu na kuwatendea mema watu...Mtu kama ulikua unapiga chupa 10 safari lager- piga 2, hizo nyingine toa sadaka n.k.

Show off - za ajabu hazikubaliki...
 
Ukitaka kuujua uzito wa Kwaresma tuulize sisi wenye wapenzi Wakristo.
Hata mimi nilikuwa naichukulia kawaida tu hadi nilipokuwa nae, now I know.

Lakini, kwanini tusiheshimu imani za wengine? Kwanini tupimane imani kwa maneno?
Napenda sana watu wenye imani tofauti za kidini wakishibana na kuheshimiana. Binafsi sio mpenzi tu, ndugu na marafiki zangu wengi ni Wakristo na tunaishi vizuri sana.
Hongera sana unatakiwa pia ujifunze kuishi na hili wimbi la wasio amni Mungu ,tupo wengi tu.
 
Hatufungi kwa kuutazama mwezi,
Hamuwezi kutazama mwezi kwakuwa hii ibada hamjafundishwa na Yesu na wala haikufanywa na wanafunzi wake baada ya yeye kuondoka, fatilia utagundua hii ibada ilianza 325 CE. Ingekuwa ni ibada iliyofanywa na wanafunzi wake basi bila shaka mngekuwa mnaangalia mwezi, coz hivyo ndivyo mitume na wanafunzi wao walifanya kwa matukio yote yaliyofungamana na tarehe maalum.

Ajabu ni kwamba utaratibu sahihi wa kufunga kwa namna ilivyofanywa huko nyuma haujulikani tena kwakuwa warumi walisha chakachua kila kitu.

Sisi tumeambiwa hivi : -
Quran 2:183 Ou who have believed, decreed upon you is fasting as it was decreed upon those before you that you may become righteous

Mi ushauri wangu ni kwamba anza kufatilia Yesu na watu wake walifunga vipi? sina hakika kama unaweza kulipata hilo lakini hebu anzia hapo kwanza.
 
Back
Top Bottom