Sawa sisi tunabadili ratiba za mlo, hebu nielezee wewe sasa unaefunga, hivyo unavyofunga umefundishwa na nani?Kubadili ratiba za milo sio kufunga, Waislam hubadilli tu ratiba za milo kila mwaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sisi tunabadili ratiba za mlo, hebu nielezee wewe sasa unaefunga, hivyo unavyofunga umefundishwa na nani?Kubadili ratiba za milo sio kufunga, Waislam hubadilli tu ratiba za milo kila mwaka.
Kufunga kupo kwa mtazamo wa kiimani na kiafya sasa wewe unazungumzia kufunga kiimani au kiafya? ili tuangalie hayo masaa na tija zake.Inategemea na nguvu ya mfungaji, wapo wanaweza masaa 12, wapo pia wa masaa 24, halafu kuna wale wa masaa 72+
Mtoa mada kaifananisha ramadhani na kwaresma katika masuala ya kukutanisha watu kuftari pamoja, kusaidia wasiojiweza n.kAnataka akuone umebabuka midomo,umejikunyata,unatia simanzi,unatematema mate na kusawijika kwa sonona kwa sura kukosa nuru ndiyo aamini upo katika kwaresma. Kwa ufupi UJIONESHE.
Kufunga ni ibada maalum ya kuombea jambo fulani, hilo ni swala la imani, na ndio mjadala tulionao.Kufunga kupo kwa mtazamo wa kiimani na kiafya sasa wewe unazungumzia kufunga kiimani au kiafya? ili tuangalie hayo masaa na tija zake.
Sasa ndio nauliza kwamba Dar waislamu ni wengi kuliko wakristo?Achilia kitimoto, hata biashara za bar zinashuka sana, watu wanakunywa beer kitimoto washindwe?
Umeeleza vema.Ni vema muendelee hivyohivyo. Na aliye tofauti na imani yenu awe huru kuenenda kwenye reli yake bila kupangiwa.Mtoa mada kaifananisha ramadhani na kwaresma katika masuala ya kukutanisha watu kuftari pamoja, kusaidia wasiojiweza n.k
Hajafananisha kwa utofauti wa mounekano kwa aliefunga kiukweli na asiefunga kiukweli.
Hakuna kujionesha, kwetu sisi tunaanza kujizoesha kufunga tangu tukiwa wadogo labda from 10 years, hivyo tunakuwa na mazoea ya kufunga na hakuna ugumu wowote kwetu, hao unaoona wanapauka kwa kufunga basi hawana mazoea labda wameanza ukubwani.
kuna watu wanafunga kila wiki mara 2, wengine kila katikati ya mwezi mara 3 na wala hujui kama wamefunga wanapiga kazi zao fresh tu.
Tumefaradhishiwa kufunga ili kupata afya (unapofunga unakuwa huli ovyo ovyo) na pia kumcha Mwenyezimungu kwani kufunga sio kula na kunywa tu, kufunga ni kujizuilia mambo yote ya maasi....hivyo mtu akifunga na kuacha kufanya maasi anakuwa anajikurubisha na Mwenyezimungu.
Sasa kama kufunga kwa kiimani kinachoangaliwa ni kule kuacha kula na kukaa na njaa kwa imani hivyo haijalishi ni masaa 12 au masaa mawili, sasa haya kubadili ratiba ya kula sijui usiku unakula sana inatoka wapi?Kufunga ni ibada maalum ya kuombea jambo fulani, hilo ni swala la imani, na ndio mjadala tulionao.
Unaposema kuna kufunga kwa mtazamo wa kiafya nadhani hiyo ni mada nyingine isiyohusiana na mjadala huu.
Unaweza kuanzisha uzi wa kufunga kwa mtazamo wa kiafya wadau tutajadili.
Roho Mtakatifuhivyo unavyofunga umefundishwa na nani?
Na hivi ndivyo inavyotakiwa, lakini usishangae maana kuna uislamu na waislamu, kuna waumini na waislam jina...Kubadilisha timetable ya kula nayo unataka iwe ligi. Waislam wengine mnapenda attention ndio maana kwenye mwezi huo mnataka kila mtu ajue mmefunga ilhali hio haina utofauti na unafki.
Funga kwa ajili yako na Mungu wako sio kwa ajili ya wanadamu.
siyo mpango wa Mwenyezi MunguKwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.
Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo
Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.
Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
Mtu anajiita Bright lakini ana akili za kipumbavu kabisa.
Ndege wanafanana nao huruka pamoja. Naona unaruka na mwenzakoKosa lake nini? Kuongea ukweli!
Kwaresma hakuna "MAJINI" wema.Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.
Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo
Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.
Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
Inategemea na miongozo ya dini husika.Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.