hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Mi ni mkristo, hii pia ni dhambi,usijihesabie hakiWakristo wanafunga kama ibada,wengine mnabadili ratiba ya msosi kama kanuni inavyowalazimu mnaita kufunga.
sisi tunafunga kujipa uimara wa kupokea majibu ktk maombi tuliyoomba
kumweleza mtu malengo ya mfungo wa kikristo ni kujihesabia haki!!!!Mi ni mkristo, hii pia ni dhambi,usijihesabie haki
Wauza kitimoto wa wapi maana nchi hii kubwa mkuu?Wauza kitimoto wanasema biashara inakuwa mbaya ramadhan ikifika, sijui ni kweli?
Siku zote kufunga au kutofunga ni siri ya mtu mwenyewe mwengine hauwezi kujua kwa uhakika kama fulani kafunga kweli ama sivyo.Njaa mbaya sana. Wa kristo wanafunga kwa siri sio kama nyinyi mwez wa Ramadhan kanzu nyingi na kupaka mkaa eti sigda😆😆
Biashara ya kitimoto hudoda sana mikoa ya Pwani ikiwemo Dar es salaam kwenye waislamu wengi mwezi wa Ramadhani.Wenye bucha za nguruwe wengine hufunga kabisa mwezi wa Ramadhani wanasema huwa hakuna wateja .Idd ikifika tu kiti moto unakisubiria kwa foleni.Soko linarudi kwa nguvuWauza kitimoto wa wapi maana nchi hii kubwa mkuu?
Wanafunga kwa huo muda ambao hawatakiwi kula au wewe unafikiri kufunga ni kukoje mkuu? Hata ingekuwa kwa saa moja tu ni kufunga.Mbona hawafungi ila wanabadili ratiba ya kula tu, watu wanafukia saa moja jioni na saa kumi za usiku mpaka tumbo linakuwa fulll
Kwani kufunga kulitakiwa kuweje mkuu?Alfajili na mapema unakula hadi unavimbewa, jioni pia unakula vyakula tena vingi kwa ulafi. Usiku wa manane unaamka unakula tena .
Yaani kwenye mfungo badala demand ya vyakula ipungue ili bei ishuke badala yake vitu ndio vinapanda bei. Inabidi tuache maigizo na kila mmoja wetu ajitafakari kulingana na Imani yake
Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Kufunga inatakiwa kuweje ni kwa kutokula siku nzima?Kubadili ratiba za milo sio kufunga, Waislam hubadilli tu ratiba za milo kila mwaka.
Dsm mkuu, nilishasikia wakisema.Wauza kitimoto wa wapi maana nchi hii kubwa mkuu?
Kwahiyo hiyo ina maana Dsm kuna waislamu wengi kuliko imani zengine na ndio maana wao wanakuwa wengi kiidadi kwa wateja wa kitimoto au tuseme Dsm waislamu ni wapenzi sana wa kitimoto kuliko imani zengine?Dsm mkuu, nilishasikia wakisema.
Navyojua mie walevi wengi ndio wateja wakubwa wa kitimoto sasa kama hizo sehemu kuna waislamu wengi basi hao miongoni mwao ambao walevi ndio wateja wa kitimoto hivyo hakuna ajabu kwa hilo au tuseme kitimoto inapendwa zaidi na waislamu kuliko wakristo?Biashara ya kitimoto hudoda sana mikoa ya Pwani ikiwemo Dar es salaam kwenye waislamu wengi mwezi wa Ramadhani.Wenye bucha za nguruwe wengine hufunga kabisa mwezi wa Ramadhani wanasema huwa hakuna wateja .Idd ikifika tu kiti moto unakisubiria kwa foleni.Soko linarudi kwa nguvu
Achilia kitimoto, hata biashara za bar zinashuka sana, watu wanakunywa beer kitimoto washindwe?Kwahiyo hiyo ina maana Dsm kuna waislamu wengi kuliko imani zengine na ndio maana wao wanakuwa wengi kiidadi kwa wateja wa kitimoto au tuseme Dsm waislamu ni wapenzi sana wa kitimoto kuliko imani zengine?
Hapana,ni wale Magaidi ya kujilipia ili yawahi bikra 72.Katoliki ndio Wale WA Upinde?
Ahahhahahhaahah...kama
Inategemea na nguvu ya mfungaji, wapo wanaweza masaa 12, wapo pia wa masaa 24, halafu kuna wale wa masaa 72+Kufunga inatakiwa kuweje ni kwa kutokula siku nzima?
Hongera sana unatakiwa pia ujifunze kuishi na hili wimbi la wasio amni Mungu ,tupo wengi tu.Ukitaka kuujua uzito wa Kwaresma tuulize sisi wenye wapenzi Wakristo.
Hata mimi nilikuwa naichukulia kawaida tu hadi nilipokuwa nae, now I know.
Lakini, kwanini tusiheshimu imani za wengine? Kwanini tupimane imani kwa maneno?
Napenda sana watu wenye imani tofauti za kidini wakishibana na kuheshimiana. Binafsi sio mpenzi tu, ndugu na marafiki zangu wengi ni Wakristo na tunaishi vizuri sana.
Hamuwezi kutazama mwezi kwakuwa hii ibada hamjafundishwa na Yesu na wala haikufanywa na wanafunzi wake baada ya yeye kuondoka, fatilia utagundua hii ibada ilianza 325 CE. Ingekuwa ni ibada iliyofanywa na wanafunzi wake basi bila shaka mngekuwa mnaangalia mwezi, coz hivyo ndivyo mitume na wanafunzi wao walifanya kwa matukio yote yaliyofungamana na tarehe maalum.Hatufungi kwa kuutazama mwezi,