Kwanini kwenye shughuli za kisiasa Bakwata hupewa uzito kama dhehebu mfano KKKT na Katoliki wakati linawakilisha waislamu wote?

kwanza mpaka ujue bakwata ilianzishwa na nani na kwa malengo gani,
Tafuta makala za mwanaharakati mohamed said utapata majibu ya swali lako,
 

Aiyekuambia BAKWATA inawkilisha waislam wote ni nani ?
 
UKATOLIKI ndio unaoiongoza serekali yetu,KATOLIKI ikaitumia serekali KUTENGENEZA TAASISI YA ITAKAYOUA UISLAMU HALISI HASA ULEE ULIOIANZISHA TANU WALE WAPIGANIA UHURU HALISI SIO HAWA TUNAOWAIMBA!!serekali ikaanzisha BAKWATA ILIOPO AMBAYO SIO TAASISI HALISI YA UISLAMU BALI CHOMBO CHA KIKATOLIKI!!!Huwezi kuwa raisi muislam bila kuwa memba wa BAKWATA kikwete na mwinyi wanajua hilo!!!!!BAKWATA NA KATOLIKI NI NDUGU WANAOPENDANA WANAKULA KUKU KWA MRIJA!!!!!!nadhani nimewatoa tongo tongo hapo wale wa kawaida kama mimi!!kwa watu wa kina wanalijua hilo!!wale wenye siri za nchi yetu!!!!!!PASCAL NJOO UELEZE KWA KINA KUWA PAKE ST. PETERS CHURCH NDIPO MARAISI WENGI HUPEWA BARAKA ZAO!!!!Ngoja na mimi nianze kusali st.peters pale posta labda ntabahatika!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…