Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
kulingana na katiba yetu, ndiyo.Kwahiyo kuna dini ya Katoliki na dini ya Lutheran?
Kazi kweli kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kulingana na katiba yetu, ndiyo.Kwahiyo kuna dini ya Katoliki na dini ya Lutheran?
Kazi kweli kweli!
Huwa nashangaa kwenye shughuli za serikali au vyama vya siasa Bakwata huwa na mwakilishi mmoja sawa na madhehebu mengine kama KKKT, Anglican, Katoliki, TAG na Pentecostal wakati Bakwata ni Baraza kuu la waislamu wote.
Kwanini Bakwata isiwe na uwakilishi wa mashehe hata watatu ili kuleta uwiano wa viongozi wa dini wanaoketi siti za mbele na kufanya maombi ya kufungua mikutano na kuliombea taifa?
Ni hilo swali tu dogo lakini muhimu.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Maendeleo hayana vyama!
Katiba yao!Aiyekuambia BAKWATA inawkilisha waislam wote ni nani ?
Katiba yao!