Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

Hawamu hii sijui wamevurunda, sijui kama itakuwa imara kama ile ya kitambo ile. View attachment 1519311
images%20(1).jpg
 
wajuzi wengi wa magari wamekuwa wakisifia kwamba Landrover Defender engine ya TDI ni gari nzuri yenye engine bora sana.wajuzi hebu mnijuze sifa za hii engine pamoja na engine capacity yake

"Ukitaka kwenda porini, nenda na land rover ila ukitaka kwenda porini na kurudi nenda na Land cruiser"
 
air suspension inasaidia nini?
Ni comfortable zaidi ya spring za vyuma na shock absorber. Ila kwenye Defender lengo kubwa ni kuweza kuliinua ukitaka kuongeza urefu wa gari (ground clearance) kwa offroad ili isikwame au kujikwaruza, na kuweza kulishusha ukiwa barabara nzuri ili liwe stable.

Maana ile Defender ya mwanzo iko juu kwa ajili ya offroad. Ndio maana kwenye barabara nzuri ukilala nayo kwenye kona ukiwa 80kph kuendelea haichelewi kukulaza.
 
Ni comfortable zaidi ya spring za vyuma na shock absorber. Ila kwenye Defender lengo kubwa ni kuweza kuliinua ukitaka kuongeza urefu wa gari (ground clearance) kwa offroad ili isikwame au kujikwaruza, na kuweza kulishusha ukiwa barabara nzuri ili liwe stable...
Hapo nimekupata
 
Kuna jamaa wametengeneza dude wanaliita Grenadier. Likiingia sokoni Defender itapata changamoto saana.

Hiyo Grenadier haitokuwa na jipya kwenye uwanja wa off road. Hawa gari zao wameweka injini za BMW ambapo mwenzao Land Rover Defender aliwahi kutumia na hazikufanya vizuri.

Pia wanaweka coil spring mbele na nyuma.Toyota muache auze maana Kwenye Series 70 ambayo ni Heavy Duty kwenye Off Road mabadiliko anafanya kijanja kwenye facelift,kuweka spring mbele na injini kuboresha.

L/Cruiser kwenye series 75/76/78/79 katumia 1HZ injini kama injini mama ingawa alijaribu kuweka 13B,1PZ na saizi kaitia 1VD baada ya kufanya vyema kwenye series 200.

Land Rover Defender katumia Td200 akaja Bmw, akaboresha Td200 ikaja T300 na hapo saizi matoleo ya mwisho katumia Td5.
 
Hiyo Grenadier haitokuwa na jipya kwenye uwanja wa off road. Hawa gari zao wameweka injini za BMW ambapo mwenzao Land Rover Defender aliwahi kutumia na hazikufanya vizuri...
Kwa kweli kwenye engine wamezingua. Na pia hawana option ya manual gearbox. Hapo pia wamechemka.

LC Series 70 kwa kweli sidhani kama kuna mpinzani.
 
hivi land rover 110 zina cc ngapi?
Injini za Diesel za Td200,Td 300 na Td5 zina 2500cc. Petrol ana 2000cc na V8 sijui zina cc ngapi kwa baadhi ya matoleo.

Hizo za Diesel ndio zipo nyingi hapa Tanzania hiyo Td5 ni 5 cylinder na Td 200/300 ni 4 cylinder.

L/Rover cc ndogo ila kwa nguvu ni habari nyingine, kwenye tope inatoka na moto mdogo kama kambale wa mto Ruvu.
 
Petrol ni cc 3900 almost 4000
 
hahaha! hivi umeshtukia hizi discovery nyingine (ukiachana na discovery 3 & 4) zin a mabody yanatofautiana mengine makubwa mengine madogo?
 
Back
Top Bottom