Masseto
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 1,615
- 3,205
Hawamu hii sijui wamevurunda, sijui kama itakuwa imara kama ile ya kitambo ile. View attachment 1519311
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imekuwa kama TD5Mkuu, sasa Defender mpya 110 wametupia na air suspension, na umeme/computer kila kona. Likiroga huko porini sijui unalitoaje.
air suspension inasaidia nini?Mkuu, sasa Defender mpya 110 wametupia na air suspension, na umeme/computer kila kona. Likiroga huko porini sijui unalitoaje.
Za kwendea kanisani.Lazima ulale porini, hizo zinawafaa wazee na watu wazima sio vijana.
Kuna jamaa wametengeneza dude wanaliita Grenadier. Likiingia sokoni Defender itapata changamoto saana.Hawamu hii sijui wamevurunda, sijui kama itakuwa imara kama ile ya kitambo ile. View attachment 1519311View attachment 1519312
Yaani zile hazifai kabisa porini. Maana repair yake sio ya mchezo.imekuwa kama TD5
"Ukitaka kwenda porini, nenda na land rover ila ukitaka kwenda porini na kurudi nenda na Land cruiser"wajuzi wengi wa magari wamekuwa wakisifia kwamba Landrover Defender engine ya TDI ni gari nzuri yenye engine bora sana.wajuzi hebu mnijuze sifa za hii engine pamoja na engine capacity yake
Ni comfortable zaidi ya spring za vyuma na shock absorber. Ila kwenye Defender lengo kubwa ni kuweza kuliinua ukitaka kuongeza urefu wa gari (ground clearance) kwa offroad ili isikwame au kujikwaruza, na kuweza kulishusha ukiwa barabara nzuri ili liwe stable.air suspension inasaidia nini?
Hapo nimekupataNi comfortable zaidi ya spring za vyuma na shock absorber. Ila kwenye Defender lengo kubwa ni kuweza kuliinua ukitaka kuongeza urefu wa gari (ground clearance) kwa offroad ili isikwame au kujikwaruza, na kuweza kulishusha ukiwa barabara nzuri ili liwe stable...
yap engine ya cruiser mashinee.kwa Landrover naikubali 110"Ukitaka kwenda porini,nenda na land rover ila ukitaka kwenda porini na kurudi nenda na Land cruiser"
Kuna jamaa wametengeneza dude wanaliita Grenadier. Likiingia sokoni Defender itapata changamoto saana.
Kwa kweli kwenye engine wamezingua. Na pia hawana option ya manual gearbox. Hapo pia wamechemka.Hiyo Grenadier haitokuwa na jipya kwenye uwanja wa off road. Hawa gari zao wameweka injini za BMW ambapo mwenzao Land Rover Defender aliwahi kutumia na hazikufanya vizuri...
hivi land rover 110 zina cc ngapi?Kwa kweli kwenye engine wamezingua. Na pia hawana option ya manual gearbox. Hapo pia wamechemka.
LC Series 70 kwa kweli sidhani kama kuna mpinzani.
Injini za Diesel za Td200,Td 300 na Td5 zina 2500cc. Petrol ana 2000cc na V8 sijui zina cc ngapi kwa baadhi ya matoleo.hivi land rover 110 zina cc ngapi?
Diesel vipi?
Injini za Diesel za Td200,Td 300 na Td5 zina 2500cc. Petrol ana 2000cc na V8 sijui zina cc ngapi kwa baadhi ya matoleo.
Hizo za Diesel ndio zipo nyingi hapa Tanzania hiyo Td5 ni 5 cylinder na Td 200/300 ni 4 cylinder.
L/Rover cc ndogo ila kwa nguvu ni habari nyingine, kwenye tope inatoka na moto mdogo kama kambale wa mto Ruvu.
hahaha! hivi umeshtukia hizi discovery nyingine (ukiachana na discovery 3 & 4) zin a mabody yanatofautiana mengine makubwa mengine madogo?Injini za Diesel za Td200,Td 300 na Td5 zina 2500cc. Petrol ana 2000cc na V8 sijui zina cc ngapi kwa baadhi ya matoleo.
Hizo za Diesel ndio zipo nyingi hapa Tanzania hiyo Td5 ni 5 cylinder na Td 200/300 ni 4 cylinder.
L/Rover cc ndogo ila kwa nguvu ni habari nyingine, kwenye tope inatoka na moto mdogo kama kambale wa mto Ruvu.
sema zile za V8 nasikia mafuta sio kitotoPetrol ni cc 3900 almost 4000
Hio V8 ya petrol ukiikuta kwenye Discovery 2 ina balaa ina mbio na muungurumo wa kibabe sana.sema zile za V8 nasikia mafuta sio kitoto
Mie naonaga hii gari ya Mhindi iko over rated.. Serikalini walizishibokea sana miaka hiyo ila wakaona zinakufa mapema kuliko Landcruser ya mkonga, wakazi diss!