Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

Kwanini Landrover Defender zinapendwa sana?

Nani kakuambia land rover ni no ya muhindi ? Rover deffender ni gari ya kiume sana
Hahaha itakua haujui hata Range Rover inatengenezwa na wahindi mkuu wahindi wa TATA...waingereza walishauza share nyingi kwa TATA
 
Hawamu hii sijui wamevurunda, sijui kama itakuwa imara kama ile ya kitambo ile. View attachment 1519311View attachment 1519312
Hamna gari humo, matatizo tu! Practically an off-roader does not need so many cosmetics kama sedan ambayo ni gari ya kulia kuku tu.

Nunua ila uhakikishe una kipato cha mbunge! Bila hivyo itageuka kiota cha popo na ndege hapo uani kwako.
 
Kuna mdudu TUNDRA pia naitamani sana hii garii sema bado nafanya utafiti nipate ya mkono wa kulia sio LHD
Toyota tundra ni gari nzuri na zimeteka soko la Marekani na Canada, shida ya hizi gari zina engine kubwa karibu zote ni 5.7 ltr V8 Petrol. Na pia ni left hand.
 
LC
Ansar_Dine_Tombouctou.jpg
 
Back
Top Bottom